GE2025 Mkojani amwaga machozi akililia laki 5 ya fomu ya Ubunge baada ya jina lake kukatwa

GE2025 Mkojani amwaga machozi akililia laki 5 ya fomu ya Ubunge baada ya jina lake kukatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

😀😀 sasa hii ndio kazi yako Mkojani, endelea kuchekesha Watu tu!

Mwigizaji na mchekeshaji Abdallah Mohamed Nzunda, maarufu kama Mkojani, amemwaga machozi akidai kufadhaishwa na matokeo ya kura za maoni za Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CCM. Adai Wajumbe walimtia moyo sana kuwa atatoboa

 
Watu wanatengeneza matukio matukio kwa nguvu sana kuhakikisha wanabaki on air.
 
ubunge ushakuwa makalio sasa mtu akijiskia naye anataka kuwa mbunge
 
Wakuu!

😀😀 sasa hii ndio kazi yako Mkojani, endelea kuchekesha Watu tu!

Mwigizaji na mchekeshaji Abdallah Mohamed Nzunda, maarufu kama Mkojani, amemwaga machozi akidai kufadhaishwa na matokeo ya kura za maoni za Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CCM. Adai Wajumbe walimtia moyo sana kuwa atatoboa

Mbona sijaona simu yako,ila pia uzalendo ni kuchangia chama chako na kujitolea kwa ajili ya taifa lako na sii kwa ajili ya mtu ama watu.
 
Mkojani hakuchukua form kwa ajili yake, hayo ni maagizo tuu
 
Nadhani NI comedy Tu kaamua kwenda na upepo ..ila kwa ustar wake laki tano NI kama buku Tu kwako mtoa mada

True. Multichooce kupitia dstv/Maisha Magic Bongo/ Orijini Komedy, Pesa wanayoipata kwa laki tano ni sawa na jero tu.
 
Back
Top Bottom