Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mastaa wengi wa Bongo makupuku tu, wakiumwa huwa wanaomba kuchangiwa pesa.Nadhani NI comedy Tu kaamua kwenda na upepo ..ila kwa ustar wake laki tano NI kama buku Tu kwako mtoa mada
Uzuri akilia comedian hata kwa uchungu halisi itaonekana anaigiza...shida akilia Waitara.Nadhani NI comedy Tu kaamua kwenda na upepo ..ila kwa ustar wake laki tano NI kama buku Tu kwako mtoa mada
Mbona sijaona simu yako,ila pia uzalendo ni kuchangia chama chako na kujitolea kwa ajili ya taifa lako na sii kwa ajili ya mtu ama watu.Wakuu!
😀😀 sasa hii ndio kazi yako Mkojani, endelea kuchekesha Watu tu!
Mwigizaji na mchekeshaji Abdallah Mohamed Nzunda, maarufu kama Mkojani, amemwaga machozi akidai kufadhaishwa na matokeo ya kura za maoni za Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CCM. Adai Wajumbe walimtia moyo sana kuwa atatoboa
Nadhani NI comedy Tu kaamua kwenda na upepo ..ila kwa ustar wake laki tano NI kama buku Tu kwako mtoa mada
Siasa imevamiwa!