Mkojani ni Hazina ya Taifa

periodic table

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2019
Posts
207
Reaction score
510
Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo..

Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona future superstaa wa kizaz na kizazi..

Tumpe ushauri huyu jamaa aboreshe wapi na wapi ili kuilinda sanaa yetu ya maigizo ambayo ilianza kupoteza mvuto lakin yeye ameleta radha tofaut ambayo imeongeza ufanisi..

N:B ..Sina self interest na Mkojani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…