Mkojani ni Hazina ya Taifa

Mkojani ni Hazina ya Taifa

Huyu jamaa namkubal sana.Ingawa mimi simpenz wa bongo movie ila huyu mshkaji hapana
 
Mkojani salute kwa kuburudisha...Dar Arusha Safari inakuwa fupi
 
Huyu jamaa namkubal sana.Ingawa mimi simpenz wa bongo movie ila huyu mshkaji hapana
Kwa kweli tunatofautiana sana,sasa huyo Mkojani unamkubali kwa kipi??yaani nikisikiaga sauti yake kwenye basi ni heri niweke Earphone nisikilize matangazo ya vifo,sijui hata anaigizaga nini
 
Ahahaha mkuu kwakwel hata mimi sikudhan kama ningefikia hatua hii ila ni baada ya kumfuatilia kazi zake..jamaa anavichekesho sana
 
Kwa kweli tunatofautiana sana,sasa huyo Mkojani unamkubali kwa kipi??yaani nikisikiaga sauti yake kwenye basi ni heri niweke Earphone nisikilize matangazo ya vifo,sijui hata anaigizaga nini
[emoji23]
 
Sijuagi anaigiza vitu gani,hajawahi nivutia kabisa.
 
Hapa mnasemaje
 
Back
Top Bottom