Mkojani ni Hazina ya Taifa

Mkojani ni Hazina ya Taifa

Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo..

Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona future superstaa wa kizaz na kizazi..

Tumpe ushauri huyu jamaa aboreshe wapi na wapi ili kuilinda sanaa yetu ya maigizo ambayo ilianza kupoteza mvuto lakin yeye ameleta radha tofaut ambayo imeongeza ufanisi..

N:B ..Sina self interest na Mkojani
Mkojani ndio P Funk Majani?
 
Yaani Mimi sijui Nina tatizo gani..yaani hawa jamaa siwaelewi kabisa..Mimi nawakubali wale stand up comedy..wale vijana wa Chaka tu..
Kwa mfano Kuna jamaa anaitwa madevu..Kuna kichekesho Cha mwanafunzi anamshitaki mwenzie kwa mwalimu..aliyeshitakiwa anapiga English kuliko mwalimu..ukiona jamaa avyoigiza pale.. madevu Yuko vizuri
 
Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo..

Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona future superstaa wa kizaz na kizazi..

Tumpe ushauri huyu jamaa aboreshe wapi na wapi ili kuilinda sanaa yetu ya maigizo ambayo ilianza kupoteza mvuto lakin yeye ameleta radha tofaut ambayo imeongeza ufanisi..

N:B ..Sina self interest na Mkojani
Kipupwe ni msanii wa kawaida mnooo
 
Hakika Mkuu umeongea, yan jamaa alivo tu ukimuona unaanza kucheka, huwa najiuliza sana anapoenda ukweni kwake huwa inakuwaje akifika!
Kweli watu mnafuraha huenda mimi nina stress yani ukimuona tin white unaanza kucheka tu 😳.
Mkojani mara moja moja uwa ananichekesha ila wale wazee wa stand up comedy ndiyo nawaelewa na nlikuwa namwelewa zaidi Deo
 
mwanafunzi wa tiny white,kw sasa bado tony white ni fundi sana ,anaigiza,anachekesha bila kutumia nguvu. mkojani anazidisha kuigiza hayuko serious na kazi
TINY WHITE bodgard wa SHARO R.I.P 2011😀
 
Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo..

Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona future superstaa wa kizaz na kizazi..

Tumpe ushauri huyu jamaa aboreshe wapi na wapi ili kuilinda sanaa yetu ya maigizo ambayo ilianza kupoteza mvuto lakin yeye ameleta radha tofaut ambayo imeongeza ufanisi..

N:B ..Sina self interest na Mkojani
Naona hazina zimekosekana
 
Sijapanda mabasi muda mrefu, I mean sijaangalia movies zao muda mrefu.
 
So huyu jamaa mbunifu sana ila asije akalewa sifa , binafsi kuna kipande aliigiza kuelekea mechi ya watani wa jadi nilikiona kwenye ukrasa wa haji manara istagram

Niliona alitumia ubunifu mkubwa na alifanikiwa kunichekesha kwa mara ya kwanza
 
Hapa mtaani ukiwaona kila siku wapo busy kurekodi.

Mara ya kwanza walikuja home wakaomba warekodi scene ,nikakubali ,walipomaliza eti wananiachia 10,000 . Siku iliyofuata wakarudi tena nikawaambia hapana,geto itrend na movie yao halafu mi nipewe 10,000? Kuanzia hapo hawakurudi.
 
Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo..

Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona future superstaa wa kizaz na kizazi..

Tumpe ushauri huyu jamaa aboreshe wapi na wapi ili kuilinda sanaa yetu ya maigizo ambayo ilianza kupoteza mvuto lakin yeye ameleta radha tofaut ambayo imeongeza ufanisi..

N:B ..Sina self interest na Mkojani
😁 Pambafu huyu. Nipo natoka mkoani fiamu yake moja yaani ina hadi part 3 na ya dk 20 20 hivi, halafu upupu mtupu!
 
Back
Top Bottom