Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mkojani ndio P Funk Majani?Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo..
Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona future superstaa wa kizaz na kizazi..
Tumpe ushauri huyu jamaa aboreshe wapi na wapi ili kuilinda sanaa yetu ya maigizo ambayo ilianza kupoteza mvuto lakin yeye ameleta radha tofaut ambayo imeongeza ufanisi..
N:B ..Sina self interest na Mkojani