Mkojani ni Hazina ya Taifa

Wewe ndio umeongea pointi Tin White ni shida na hatumii nguvu nyingi jamaa anajuaaaaaa
Hakika Mkuu umeongea, yan jamaa alivo tu ukimuona unaanza kucheka, huwa najiuliza sana anapoenda ukweni kwake huwa inakuwaje akifika!
 
Mimi niliwahi ona anasema Joti sijui ni kipindi cha Mkasi sina kumbumbu vizuri.
Kwenye moja ya mahojiano ya kituo kimoja cha TV na mzee Majuto miezi michachha kabla ya kufariki, aliwahi kuulizwa ni msanii gni wa vichekesho anayemkubali, akamtaja Brother K a.k.a Mobimba wa Futuhi
 
Sijui kwa nini hawa jamaa hawa nichekeshagi.

Mimi napenda sana standup comedy zile
 
Kama ni hazina awekwe makumbusho ya taifa basi
 
Hakika Mkuu umeongea, yan jamaa alivo tu ukimuona unaanza kucheka, huwa najiuliza sana anapoenda ukweni kwake huwa inakuwaje akifika!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ utafurahi ukimkuta yeye ni mwenyekiti wa kijiji halafu Nagwa ni mwanakijiji huwa ni balaa
 
Kama Tin hakuchekeshi basi wewe umenizidi ugumu
Unajua mimi nimegundua kitu kwangu.

Mchekeshaji yeyote yule huwa kuna vitu kweli ananichekesha,lkaini kuna vitu nakuta hanichekeshi.

Mfano kuna clip ya tinwaiti alikuwa ugenini akakaribishwa maziwa aandalaiwe akapiga sarakasi akasema "mambo ya maziwa mwee" ile ilinichekesha sana.

Lakini unakuta kuna zingine naziona kawaida tu.
 
Na mimi sio zote lkn jamaa anajitahidi huwezi kumfananisha na wapigaji akina Masanja
 
Kuna msukuma anaitwa "Mwanawane" Yule jamaa ni shida..Sema chemistry ya Tin white na Ringo n balaa na Kipupwe awepo ambae ndo Mkojani saivi ambae simkubali kama alivokua Kipupwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…