Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
ahsanteni nyote
Kunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc
Hunywi maji ya kutosha, kunya maji ya kutosha hutaona tena rangi ya njano
lita kumi na mbili kwa siku atakuwa ng'ombe sasa huyuKunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc
hayo maji mimi nayanywa hadi yanapoteza ladha ila waapi
sio chini ya tanounakunywa glass ngapi kwa siku?
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
lita kumi na mbili kwa siku atakuwa ng'ombe sasa huyu