Mkojo kuwa na rangi ya njanooooo

Mkojo kuwa na rangi ya njanooooo

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo
 
Wengine hadi tumezoea...ngoja nisubiri majibu
 
Jaribu kunywa maji mengi( say 1.5+ ya liyta kila siku) Nilipata kusikia hadith kwamba huwatokea sana watu wasiokunywa maji kwa kiwango kinachoshauriwa kiafya kwa maana kuwa chini ya limit
 
Ni ishara kubwa mojawapo za kukuonyesha unapungukiwa maji mwilini. Niambie uzito wako nikukokotolee ni maji kiasi gani unapaswa kunywa kila siku.
 
Hunywi maji ya kutosha, kunywa maji ya kutosha hutaona tena rangi ya njano
 
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo

Kunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc
 
Mkubwa kuna mambo mengine kama hauyajui ni vyema kunyamaza nishashuhudia mtu alikufa chanzo ilikuwa anakunywa maji mengi sana kwa siku...kwahyo kama kitu haukijui ni vyema ukapiga kimya.
 
kunywa maji mengi at list vikombe vitano mpaka nane kwa siku na si lazima uwe unasikia kiu na si ugonjwa..
 
Kunywa maji mengi walua 1/2 litre kila saa so within 24 hrs utakuwa umekunywa 12 litres, sure I'm telling you hata malaria kwako itakuwa historia.
lakini usipozingatia tegemea homa za mara kwa mara, maumivu ya kichwa, mwili kuchoka,...etc
lita kumi na mbili kwa siku atakuwa ng'ombe sasa huyu
 
WAKUU NINI TATIZO ? siku tatu mfululizo nikikojoa mkojo unatoka wanjanoo sana ni ugonjwa gani msaada plz...imenistua kidogo

Bila Shaka Lazima Utakuwa Ni Mshabiki au Mpenzi au Mwanachama wa Yanga. Mwone Mzee Akilimali Yahaya!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom