Mkuu.@
Lamchina
unataka kujuwa kama mkojo ni Dawa ? Ndio mkojo wako mwenyewe ni Dawa tosha kwa kila maradhi ila inategemea una
ugonjwa gani mpaka ukatumia mkojo wako mwenyewe? Ikiwa kama kwa mfano una maradhi ya vidonda vya tumbo na
umetumia Dawa hospitalini hukupona itabidi utumie mkojo wako au kama una maradhi ya Saratani umetumia Dawa
hospitalini lakini hukupona ndio itabidi utumie mkojo wako mwenyewe ule wa asubuhi kabla ya kula kitu sio utumie mkojo
wako kwa kunywa wakti huna maradhi haitakiwi unatumia mkojo wako mwenyewe wakati dawa zote zimeshindikana
hospitalini ndio hivyo mkuu.
Negembo nimesha eleza vya kutosha.