Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Nimepata kusikia kwa watu mbalimbali kwamba mkojo wako wa asubuhi eti ni dawa? Na wanadai kwamba ni mkojo wa asb kable hujakojoa. Unakojoa kidogo then unaofuata unakinga kama glass moja unakunywa hata robo glass kwa kuanzia then unaongeza dozi siku zinavyokwenda. Pia wadai wenzetu mamtoni ni watumiaji wazuri sana.
Pia wadau unatibu magonjwa gani hasa katika mwili wa binadamu?
Naomba kujuzwa kama hili ni kweli ili nasi tujitibu kwa dawa zetu tunazotembea nazo
Tiririka kama una maujuzi mwanawani!
Pia wadau unatibu magonjwa gani hasa katika mwili wa binadamu?
Naomba kujuzwa kama hili ni kweli ili nasi tujitibu kwa dawa zetu tunazotembea nazo
Tiririka kama una maujuzi mwanawani!