Mkojo ni dawa???

Mkojo ni dawa???

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Nimepata kusikia kwa watu mbalimbali kwamba mkojo wako wa asubuhi eti ni dawa? Na wanadai kwamba ni mkojo wa asb kable hujakojoa. Unakojoa kidogo then unaofuata unakinga kama glass moja unakunywa hata robo glass kwa kuanzia then unaongeza dozi siku zinavyokwenda. Pia wadai wenzetu mamtoni ni watumiaji wazuri sana.

Pia wadau unatibu magonjwa gani hasa katika mwili wa binadamu?

Naomba kujuzwa kama hili ni kweli ili nasi tujitibu kwa dawa zetu tunazotembea nazo
Tiririka kama una maujuzi mwanawani!
 
Dah nachojua mkojo huwa ni dawa ya maumivu ya jino au jino lililoliwa na wadudu lakini sina uthibitisho wowte wa kisayansi zaidi ya kuona watu wanatumia na unawasaidia.... Ngoja wenyewe waje hapa watiririke.........
 
Mkojo ni tiba mkuu itumie.Humo kuna urea(hata muhindi ukikojolea unanawiri),salt na maji.Tumia tu usiogope mkunduguyangu
 
Ebu wasiliana na MziziMkavu atakupa elimu ya kutosha juu ya hili.
Mkuu.@Lamchina

unataka kujuwa kama mkojo ni Dawa ? Ndio mkojo wako mwenyewe ni Dawa tosha kwa kila maradhi ila inategemea una

ugonjwa gani mpaka ukatumia mkojo wako mwenyewe? Ikiwa kama kwa mfano una maradhi ya vidonda vya tumbo na

umetumia Dawa hospitalini hukupona itabidi utumie mkojo wako au kama una maradhi ya Saratani umetumia Dawa

hospitalini lakini hukupona ndio itabidi utumie mkojo wako mwenyewe ule wa asubuhi kabla ya kula kitu sio utumie mkojo

wako kwa kunywa wakti huna maradhi haitakiwi unatumia mkojo wako mwenyewe wakati dawa zote zimeshindikana

hospitalini ndio hivyo mkuu.Negembo nimesha eleza vya kutosha.
 
Asante sana Mzizi mkavu kwa ushauri wako
Ngoja tuhamie kwenye practical tuone matokeo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@Lamchina

unataka kujuwa kama mkojo ni Dawa ? Ndio mkojo wako mwenyewe ni Dawa tosha kwa kila maradhi ila inategemea una

ugonjwa gani mpaka ukatumia mkojo wako mwenyewe? Ikiwa kama kwa mfano una maradhi ya vidonda vya tumbo na

umetumia Dawa hospitalini hukupona itabidi utumie mkojo wako au kama una maradhi ya Saratani umetumia Dawa

hospitalini lakini hukupona ndio itabidi utumie mkojo wako mwenyewe ule wa asubuhi kabla ya kula kitu sio utumie mkojo

wako kwa kunywa wakti huna maradhi haitakiwi unatumia mkojo wako mwenyewe wakati dawa zote zimeshindikana

hospitalini ndio hivyo mkuu.Negembo nimesha eleza vya kutosha.

Umeona eee....jamaa alivyoelezea!
 
aisee sasa hiyo dozi yake unakunywa kutwa mara ngapi kwa siku na je ni nusu glas au glasi nzima,au kijiko kimoja cha chai?
 
Back
Top Bottom