Ni Mimi mwenyewe GENTAMYCINE Mkuu na labda nikushangae tu Wewe ambaye hujanizoea hadi hivi leo. Mimi ni ' all rounder person ' halafu niko very ' undefined ' si tu hapa Jamvini bali hata kwa Watu walio karibu nami 24/7 na ndivyo nilivyo na sitokuja kubadilika.
Jitahidi unizoee tu Mkuu na kama labda utaona ' nakukera ' unaweza pia ukaacha kunifuatilia kwani hata hivyo hakuna siku niliyokulazimisha unifuatilie ila ninachojua ni kwamba nafuatiliwa na wengine wengi humu ambao wanaburudika na kufurahi nami ' Kimaandiko ' yangu.