Mkojo wa Wema Sepetu wazua utata mahakamani!

Mkojo wa Wema Sepetu wazua utata mahakamani!

Ushahidi wa mkojo wa mwanasiasa Wema Sepetu umezusha mabishano ya kisheria baada ya Wakili Albert Msando kumhoji Inspekta wa polisi kama alikuwepo wakati mkojo huo " unapatikana na kuchukuliwa". Inspekta alidai hakuwepo ila umeletwa mahakamani na mkemia kama ushahidi. Kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 26 na 27/02/2018 itakapoendelea kusikilizwa.

Chanzo: Clouds tv!

Ndio hapo atakapohukumiwa ana hatia wakati amerudi kujipendekeza kwa BAshite ili ashinde kesi!.

Kwa kuwa kabadilisha chama. Msando hapa ahana shughuli. NI kuomba tu wachukue mkojo wa sasa, baada ya kuzaliwa upya ccm. Bila shaka mkojo huo hautakuwa hata na dead cells!. Clear and pure kuliko hata distilled H2O.
 
Hii kesi itakuwa njia ya wengi ... kwenye sheria ya haya mambo mbeleni.. wenye akili naamini wataitumia.. tusubiri mwisho wake..
 
Yaani mkojo unatunzwa kama ushahidi au sikuelewa? Kinachoongelewa mahakamani sio matokeo ya vipimo vya huo mkojo?
 
Mambo mengine mazito....

Mkojo wa wema kabisa mtu anaubeba!???

Ptaaaaa...
 
Yaani mkojo unatunzwa kama ushahidi au sikuelewa? Kinachoongelewa mahakamani sio matokeo ya vipimo vya huo mkojo?
Itabadi akojoe tena..!???
 
Wema hakushauriwa vizuri. Angekiri kosa angeishia kupigwa faini isiyozidi milioni moja. Ila kwa sasa atatumia gharama kuubwa kuendesha hiyo kesi.
Kwani gharama yake? Kwa sasa wakili wake ni kama yeye wema walirudi wote kundini hivyo pesa ya kodi yako na yangu italipa.
 
buck-6.jpg
 
Anyweshwe tu huo mkojo wake ni dawa ya "asazi",kesi iishie hapo fasta.
 
Back
Top Bottom