Nimerudi bina naona watu wanatambia mikoko ya trade car view lol
Ila jamani kuna watu wanajua kuonga,hivi huwa wanakula nn zaidi 0717 ??????
mademu hatari sana...wanatufanya tuwe mbali na Allah wetu hawa
Huu ndo mkoko mpya wa video queen maarufu apa bongo, Agnes masogange, mengine muachie baba na mama..
Snoop said " baby yu have bright future behind yu"
punda a.k.a kontena