warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Nimerudi bina naona watu wanatambia mikoko ya trade car view lol
Wasanii wa kibongo mambo yao ni usanii mtupu, juzi nilikuwa na mshkaji ivi akaniambia ni m escort kwa mshakj wake maeneo ya Sinza, dah kumbe huyo mshkaj wake ni msanii mkubwa wa bongo fleva(jina kapuni), akaniambia apa kwa mshkaj wangu bhana, dah aiseeh moyo ulishtuka sana nilishangaa sana kwani huyo msanii anatembelea gari la maana na ukimwona physical appearance yake Chris brown nyuma, kwa kweli maisha anayoishi ni fedheha tupu, nimemhifadhi jina kwa kuwa ni mshkaj wa rafik Yang, shule muhimu binamu hizi kaz nyingine dah sijui kwa kweli