Mkoko mpya wa Agnes Masogange

Mkoko mpya wa Agnes Masogange

Nimerudi bina naona watu wanatambia mikoko ya trade car view lol

Wasanii wa kibongo mambo yao ni usanii mtupu, juzi nilikuwa na mshkaji ivi akaniambia ni m escort kwa mshakj wake maeneo ya Sinza, dah kumbe huyo mshkaj wake ni msanii mkubwa wa bongo fleva(jina kapuni), akaniambia apa kwa mshkaj wangu bhana, dah aiseeh moyo ulishtuka sana nilishangaa sana kwani huyo msanii anatembelea gari la maana na ukimwona physical appearance yake Chris brown nyuma, kwa kweli maisha anayoishi ni fedheha tupu, nimemhifadhi jina kwa kuwa ni mshkaj wa rafik Yang, shule muhimu binamu hizi kaz nyingine dah sijui kwa kweli
 
warumi

Elimu tu bina imewapiga kombo ki uhalisia wanatia huruma hasa roho inaniuma wasanii wa kiume kukubali kumegwa ili wahongwe magari
Hali inatisha..
 
Last edited by a moderator:
Ila jamani kuna watu wanajua kuonga,hivi huwa wanakula nn zaidi 0717 ??????

wanawasemaga tu mademu wa bongo movie Malaya, wachafu na wanajiuza , si bora wao wanatumia njia kuu kuliko sisi wanaume kuparamiana kisa upewe gari tena kuuzia sura tu, wote wanafahamika, tunawatunzia tu heshima zao kwa sababu jamii inawaheshimu
 
There is nothing I can say she uses her ish right.
masongange.png
 
warumi

kwani ukimtaja rafiki yako atajua maana warumi si jina lako halisi
warumi

waseme ili wajirekebishe, vinginevyo huu ni umbea usio na ushahidi
 
Last edited by a moderator:
Nasikia ukiwa na one million unapewa goli moja hapo kwenye kabang...mwenye updates juu ya hilo atujuze.....!
 
Back
Top Bottom