Mkoko Mpya wa Bob Junior

Mkoko Mpya wa Bob Junior

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huu ndo mchuma mpya anaoendesha mwanamuziki Bob junior kwa sasa. Binafsi limenikuna, soo classic , salute sana bro

Bei na aliponunua haijajulikana bado.

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 1393144634452.jpg
    1393144634452.jpg
    53.2 KB · Views: 3,628
  • 1393144650553.jpg
    1393144650553.jpg
    8.3 KB · Views: 3,490
Jeep Cherokee (New Model)
CC 4.5
Turbo Charged
Speed 220
** **
Ajipange vzur kwenye maintainance na running expenses habar ya mafuta ya elf 20 hapa hakuna....!!!
 
Na pesa zenyewe kama anategemea show za muziki tu (sikumbuki show yake ya mwisho alifanya wapi) na uo u producer itakula kwake, maana kashakuwa mume wa mtu ana mke na mtoto , so asije ilaza njaa familia yake kwa ajil ya kuuza sura , kwanza hayo mambo angewaachia wakina diamond vijana, kipato chake chenyewe cha kubangaiza, yote hayo awaumize roho watu , asije kuumia yeye tu, maana mke wake alikuwa analalamika hata maziwa ya kopo ya mtoto hanunui na mke wake hamjali, sasa hilo gari sijui itakuwaje...
 
Acheni Uongo basi mbona mwenyewe gari huyo hapo mzungu anaonekana kwa mbali...
 
Mmmmh....
 
Hongera zake naamini anajua umuhimu wa kufanya investment sehemu nyingine kwa maisha ya baadae.
 
Muziki upi unamlipa au video zinauzikaa siku hizii,uongo mwingine,labda kanunuliwa na basha lake,
Ukistaajabu ya ommy dimpozi utayaona ya Bob junior, nilikuwepo binamu...
 
Acheni Uongo basi mbona mwenyewe gari huyo hapo mzungu anaonekana kwa mbali...

Nawe nae umbea tu, sema tu unataka uhakikishiwe kama ni lake au La, mchuma wake huo binamu, alikonunua na bei havijulikani na hizo pesa kapata wapi
 
yani binadamu bwana.

nyie mlitaka anunue starlet au?? kama ameamua kulinunua hilo gari alijua fika atafanyaje ili aweze kulimaintain.. yan as if nyie ndo mnampa hela..

hata kama kanunuliwa na b.a.s.h.a wake, na wewe tafuta wako akununulie..
 
Mke wake ndie aliyeyaanika kua huyu bob ana mahusiano na wanaume wenzie na ndio sababu ya kuachwa na mkeweee
 
Na familia yake haihudumii ipasavyo, kama kopo la maziwa ya mtoto anashindwa kununua, gari atanunua sa ngapi? Roho imemuuma kisa diamond kahongwa v8, na yeye karudisha mapigo eti.. job true true
 
Duh wanashindana kuhongwa......

ha ha ha
 
Back
Top Bottom