Mkoko Mpya wa Bob Junior

Mkoko Mpya wa Bob Junior

woote warembo wenzio apa town wanaosukma ndinga za maana we jua tu express yourself inahusika binamu..

Unaweza ukatoa na usipate ukaishiwa kupigwa pasi marinda yote bora nife nao mie
 
Jeep Cherokee (New Model)
CC 4.5
Turbo Charged
Speed 220
** **
Ajipange vzur kwenye maintainance na running expenses habar ya mafuta ya elf 20 hapa hakuna....!!!

220kph or mph?
 
Jeep Cherokee (New Model)
CC 4.5
Turbo Charged
Speed 220
** **
Ajipange vzur kwenye maintainance na running expenses habar ya mafuta ya elf 20 hapa hakuna....!!!
Fuel pump yake ikiharibika brand new ni $15000 tena kwa order CFAO.
 
who is festo

cc warumi

Jamaa mmoja iv ambaye mke wa Bob junior alikuta message zisizoeleweka kwenye simu ya mumewe kutoka kwa MR FESTO, na akadai kuwa mumewe ana mahusiano yasioeleweka na Mr festo(hakufafanua mahusiano gani)
 
Last edited by a moderator:
uhalisia wa hii picha bado unautata sanaa :smile-big:
 
Jeep Cherokee (New Model)
CC 4.5
Turbo Charged
Speed 220
** **
Ajipange vzur kwenye maintainance na running expenses habar ya mafuta ya elf 20 hapa hakuna....!!!

Mizigo kama huu si ulimshinda feruzi miaka hiyo yuko on fire na hile track yake ya ukimwi...
Navyojua mimi hili gari ni zaidi ya jini linavyofyonza waarabu..ukigusa tu ignition key lita hiyo imekwenda...kama wanatatua linda ndio aweze hudumia gari hii aissee aweke na budget ya Pampers maana linda litatumika sana
 
who is festo

cc warumi

Boss wa Bob Junior na Diamond na Pia alimdhamini diamond kurecord ule mwimbo Kamwambie ktk studio ya bob junior enzi hizo diamond choka mbaya....!

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Boss wa Bob Junior na Diamond na Pia alimdhamini diamond kurecord ule mwimbo Kamwambie ktk studio ya bob junior enzi hizo diamond choka mbaya....!

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums

Mmh sasa naanza kupata picha, kumbe ndo maana
 
Back
Top Bottom