Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
woote warembo wenzio apa town wanaosukma ndinga za maana we jua tu express yourself inahusika binamu..
Unaweza ukatoa na usipate ukaishiwa kupigwa pasi marinda yote bora nife nao mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
woote warembo wenzio apa town wanaosukma ndinga za maana we jua tu express yourself inahusika binamu..
Unaweza ukatoa na usipate ukaishiwa kupigwa pasi marinda yote bora nife nao mie
Ha ha ha
umenichekesha ujueee
Jeep Cherokee (New Model)
CC 4.5
Turbo Charged
Speed 220
** **
Ajipange vzur kwenye maintainance na running expenses habar ya mafuta ya elf 20 hapa hakuna....!!!
Fuel pump yake ikiharibika brand new ni $15000 tena kwa order CFAO.Jeep Cherokee (New Model)
CC 4.5
Turbo Charged
Speed 220
** **
Ajipange vzur kwenye maintainance na running expenses habar ya mafuta ya elf 20 hapa hakuna....!!!
Mama mkubwa wangu nimekupenda buree, kumbe hadi jina unamkumbuka? , Mr festo, huyu jamaa sio mtu mzuri kabisaa
Jeep Cherokee (New Model)
CC 4.5
Turbo Charged
Speed 220
** **
Ajipange vzur kwenye maintainance na running expenses habar ya mafuta ya elf 20 hapa hakuna....!!!
Ulivyoamua kufa na marinda yako lol
mwanasihasa unataka kufumua marinda ya bibie huyu nae aendeshe...?
jambo la maana sana hili kaka....Ha ha ha ha
mi sio muumini wa Liwati Mkuu