AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Yaani mtu kuwa na sijui Cherokee au Wrangler lazima nayo iwekwe JF?
Mwisho wa siku watu mtanunua Oldsmobile mje kutuonyesha
Mwisho wa siku watu mtanunua Oldsmobile mje kutuonyesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss wa Bob Junior na Diamond na Pia alimdhamini diamond kurecord ule mwimbo Kamwambie ktk studio ya bob junior enzi hizo diamond choka mbaya....!
Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
Owkeyy asante kwa hii taarifa
Sawa….Msalimie BOSS KUBWA
who is Boss Kubwa!!!!!!!
Sorry Nimekufananisha Jina na yule Mpiga Picha wa bwana Ngololo…​NIWIE RADHI MKUBWA MWENZANGU
Mbona kawaida tu hata uko majuu kuonyesha madinga wanayomiliki mastaa
Yah lakini ndo wanavyovimiliki sasa mkuu, ndo mastaa wetu hao wanaotuwakilisha
Kwa kawaida celebrities wanamiliki vitu ambavyo viko above reach ya majority ya watu wa kawaida.
Ndio maana celebrities wa nchi za watu magari wanayoendesha, nyumba wanazomiliki na maeneo wanayokaa ni classy.
Sasa celebrity akiendesha Jeep ama Mark X, Toyota VX, Harrier, au sijui Q6 au 7, Na wakati kuna wajanja wengi mjini wana vitu vya uhakika, inaonyesha ni jinsi gani celebrities wetu walivyokuwa feki!!
Mashauzi na masifa vinataka pesa
Lakini anyway, kibongobongo ni sawa
Acha tu ndugu Yangu,magari yenyewe wanavuoyapat sasa had aibu si wavulana c wasichana..