Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Hehehehe alikufanyaje EveMi bi mdashi baada ya kupokea mafao ilibidi nikate mawasiliano kabisa nisimtafute, hadi zilipoisha ndo tukaanza mawasiliano.....pesa ni nyk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehe alikufanyaje EveMi bi mdashi baada ya kupokea mafao ilibidi nikate mawasiliano kabisa nisimtafute, hadi zilipoisha ndo tukaanza mawasiliano.....pesa ni nyk
This was bad, really badMmh hapana nliona mambo ni mchanganyiko asee nikimpigia sijui alikua anahisi nataka hela zake, anapokea hasemi halooo akipokea "eeh unasemaje" nikaona hapana.....
Mi mbona sitoleagi mate mali ya mtu yoyote nkaamua kukaa kimya kwanza.
HahahahaMmh hapana nliona mambo ni mchanganyiko asee nikimpigia sijui alikua anahisi nataka hela zake, anapokea hasemi halooo akipokea "eeh unasemaje" nikaona hapana.....
Mi mbona sitoleagi mate mali ya mtu yoyote nkaamua kukaa kimya kwanza.
Kabisa, vibaya sana.....This was bad, really bad
Nipo mkuranga 😅😹😹😹😹 uko wapi sasa.....
Alikuwa hapokei?Mi bi mdashi baada ya kupokea mafao ilibidi nikate mawasiliano kabisa nisimtafute, hadi zilipoisha ndo tukaanza mawasiliano.....pesa ni nyk
Alijua sasa kama kuna sehem alizingua?Kabisa, vibaya sana.....
Nafsi yangu ilijisikia kudhalilika sana, yani napiga simu kusalimia inapokelewa eeeh unasemaje[emoji81], dah nilikaaka kando almost a year, baada ya kuisha ndo tukaanza kuwasiliana vizuri haloo haujambo mwanangu usiwe unakaa kimya hivyo
Mi ndo maana huwa sijipi umuhimu kwa mtu jamani, mama, ndugu, mme sijipi umuhimu kabisa.....labda nitakomaa kujipa kwa watoto ila kwingine hapana.
Sitaki kudhalilika kwa namna yoyote ile. Mtu akiona mimi nafata chochote kwake basi nakua wa kwanza kumkimbia kabisa.
Nakupigia simu tuongee kwa mapana leo jumamosi.......Nipo mkuranga 😅
Sijui yeye kama alijua, mie sijawahi kumwambia kitu.Alijua sasa kama kuna sehem alizingua?
Anapokea kwa zereu.... " eeeh unasemajeee"Alikuwa hapokei?
AiseeeAnapokea kwa zereu.... " eeeh unasemajeee"
72 si unri wa kufa, unless ulikuwa na afya mbovu tokea zamani. I have close relative at that age na wako vizuri wengine wanapiga gia kama kawaAmbayo ukijumlisha miaka 60 ya kustafia anakuwa 72 umri wa kufa kabisa huu lkn pia bado 1/4 ya mshahara wake pension ya kila mwezi. Ata bila kuwekeza kwenye biashara anaweza ku survive yeye na mke wake.
CCM hoyee! Huu ujinga uko Tanzania tu ambako kila mwananchi analazimika kuwa mfanyabiashara. Nchi nyingine ukistaafu unapata pension ya kila mwezi ambayo inakaribiana na mshahara uliokuwa unapata. Yaani ukiwa mfanyakazi hutahangaika tena kujazia pato lako na biashara. Wastaafu wengi unakuta wanatumia muda wao kusafiri duniani na kula raha wakati sisi ndiyo wanaanza kujitafuta kwenye biashara. Mkiambia CCM ni janga mnaleta ushabiki wa kijinga kabisa. Wacha wale walichopanda kwani wengi ni husaidia wizi wa kura. Japo sisemi kuwa chama kingine kikiingia hali itakuwa nzuri ghafla lakini ushindani wa vyama kwenye kutawala ndiyo huleta mabadiliko.Wengi wao maisha yao yote walikuwa wanategemea mishahara ama kuwa na zile biashara za kutesti .
Matokeo yake wanapostaafu wakiwa kwenye 50s au 60s inabidi waanze kujitaufta upya kwa mafao wanayopewa.
Kwa wastani wengi huwa wanaambulia mafao milioni 20 hadi 50
Hapo kichwa huwa kinawaka moto wafanye biashara ipi, huwa waan utofauti mdogo sana na wanachuo wanaoingia mtaani kwa mara ya kwanza kuanza biashara, walichotofautiana ni mitaji tu.
Mzee anaona anunue bajaji / bodaboda bila kuzijua stress za vijana walivyo wasumbufu, Mzee anafungua duka anaweka mtaji wa milioni 50 bila kujua ushindani ulivyo, Mzee anaingizwa mjini na watoto wa mjini, n.k.
Biashra zikifiliska, presha na stress huwatafuna bila huruma
Unaishi maisha mazuri sana huwa naishi hivyo pia.Mi ndo maana huwa sijipi umuhimu kwa mtu jamani, mama, ndugu, mme sijipi umuhimu kabisa.....labda nitakomaa kujipa kwa watoto ila kwingine hapana.
Sitaki kudhalilika kwa namna yoyote ile. Mtu akiona mimi nafata chochote kwake basi nakua wa kwanza kumkimbia kabisa
Fanya uwahi kabla muda wa sabato haujaisha tusichelewe.Nakupigia simu tuongee kwa mapana leo jumamosi.......
Tukasali sabato
Wazee kabla hawajapata mafao wanakuaga na mipango mizuri sana (sometimes na sisi wengine pia kabla ya kushika hela mipango kabambe imenyoooka kama rula ngoja hela ije mkononi sasa sijui ibilisi anatokeaga wapi)Unaishi maisha mazuri sana huwa naishi hivyo pia.
Nakumbuka mzee miaka michache kabla ya kustaafu aliitisha kikao na alisema kutokana na ugumu uliopo kwenye soko la ajira ameona akistaafu atafanya investment ambazo tutaajiriwa ndani yake ila baadae akabadilisha uelekeo na kusema hatofanya chochote yeye alishatusomesha inatosha sana na hatotoa hata Tsh 100 maana kazi alifanya yeye na hela ni zake, haikuwa na athari yeyote kwetu watoto kwa sababu kati yetu hakuna aliekuwa na interest na jambo lake.
Kufupisha story nilikuja kujua mzee alishapata mafao baada ya mwaka kupita baada ya kuwa na safari zisizoeleweka mikoani mara kwa mara. Siku moja nikakutana na rafiki yake mkoani akaniambia mzee kamboost sana kwenye biashara zake alimpa 5m. Itaendelea