umemsema mzee wangu kabsaNakumbuka mbali sana, kuna mzee alienda kununua fuso fighter haijawahi miliki hata pkpk au ka gari ka mchongo.
Maana yake unataka uache kazi mapema mkuu ii ujiandae mapema uzeeni?Mada nzuri sana. Simlaumu mzee wangu kwa kutapanya mafao yake. Nachukulia kama somo.
At 40s naanza kujiandaa na kustaafu.
Ni ngumu sana hasa ukiwashirikisha wapendwa, wanakuona kama unachizika vile.
Mwaka 2014 nikiwa nimechapika vibaya nilimpigia my young blood brother aliyekua na ajira yenye maslahi manono akawa hapokei kabisa ili kumjulia tu hali. Nikampigia mtu wa karibu yake akapokea na kukiri kuwa yuko na ndugu yangu ila kasema hataki kuongea na nami. Hiyo siku dogo alinisababishia doa la maisha moyoni mwangu kuhusu yeye. Alidhani nataka nimwombe hela. Nikaacha kumpigia simu toka hiyo siku. Mkataba wa ile kazi ulipoisha kama mwaka mmoja baadae akarudi kwenye kibano kikali kiuchumi wakati huo mimi nimeshajipata kibiashara. Nikampa ajira kwenye biashara yangu akataka kuleta undugu na kuwadharau wafanyakazi wengine. Baada ya maonyo kadhaa nikaamua nimpige chini bila huruma.Mmh hapana nliona mambo ni mchanganyiko asee nikimpigia sijui alikua anahisi nataka hela zake, anapokea hasemi halooo akipokea "eeh unasemaje" nikaona hapana.....
Mi mbona sitoleagi mate mali ya mtu yoyote nkaamua kukaa kimya kwanza.
Kuna mjeda alinunua Canter alikwa hawaamini wanawe wala dereva yeyote.Nakumbuka mbali sana, kuna mzee alienda kununua fuso fighter haijawahi miliki hata pkpk au ka gari ka mchongo.
Kuna askal kapewa mil 15.🤣Waliostaafu mwaka huu vp kikokotoo chao wameramba ngap walim askar na manesi
Hakuwapa hata ya Asante mkuu?Maza alikua mbogo baada ya kuvuta 100m+ za mafao, kitu kidogo sana alisahau kuwa pesa huisha, sasa hivi tunacheza ngoma moja...
Waliostaafu mwaka huu vp kikokotoo chao wameramba ngap walim askar na manes
Bro, hata jero ya maji.....acha tuu aseeHakuwapa hata ya Asante mkuu?
Huenda raraa reree ni Mmoja wanaotarajia kustaafu,so anachukua madiniroraa reree kila kitu unalike ww ni hatari kama kuonyeshaq ushirikiano po good
hahahahahahahahahahahahahaha.......Nakumbuka mbali sana, kuna mzee alienda kununua fuso fighter haijawahi miliki hata pkpk au ka gari ka mchongo.
Hela ya kustaafu ni ya kukutunza. Siyo ya ujenzi wala miradi mikubwa.Sijawahi kuona mtu amestaafu alafu kafanya lolote la maana,l don't why🤔
Mstaafu akitaka kufa mapema,anunue chombo Cha moto Kwa ajili ya biashara.Nakumbuka mbali sana, kuna mzee alienda kununua fuso fighter haijawahi miliki hata pkpk au ka gari ka mchongo.
Asante ya nini sasa??Hakuwapa hata ya Asante mkuu?
Unajua,alipokuwa anafanya kazi,unakuta mlikuwa mnamsaidia hapa na pale Ili mambo yaende,so kuwapa watu wake kitu kidogo sio mbayaAsante ya nini sasa??
Acha waongeze mzunguko wa pesa mtaani,,hakuna namna!Tatizo lao wazee wetu wabishi sana
Kuna mtu wa karibu alilamba 100m nikampa mpango kazi akasema Jane anataka kunitapeli
As am typing ndani ya miaka minne hii hana hata ela ya kula