Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

Maa
Kuna askal kapewa mil 15.🀣
Skar wanastaafu na miaka 45 so unakuta kuna pesa nying hapati hapo kama miaka 15 mbele kama angestaafu na miaka 60 ndo maana wanapata hela ndogo sana sana jumlisha mshahara mdogo so anastaafu na mafao kiduchu mno kupitia hiko kikokotoo maskin
 
Nataka tufike huko. Tuna kila kitu cha kuweza kuwafikia na hata kuwazidi, kasoro yetu ni uongozi bora ambao ndiyo tatizo nililolijadili hapa. Upo?
Huwezi kumzidi mzungu wewe hata viongozi wachape kazi vipi endelea kuota mzungu sio mwenzio mpaka mwisho wa dunia
 
Mmh hapana nliona mambo ni mchanganyiko asee nikimpigia sijui alikua anahisi nataka hela zake, anapokea hasemi halooo akipokea "eeh unasemaje" nikaona hapana.....

Mi mbona sitoleagi mate mali ya mtu yoyote nkaamua kukaa kimya kwanza.
Daaah rest in peace my aunt baada ya kustaafu nilikuwa chuo akaniita nafika tukapiga story Ile jioni naondoka akanipa mazaga zaga mi nikageuka kurudi ghetto nilipofika nikamjulisha akaniambia cheki kwenye hicho kiroba Cha Michele Kuna zawadi yako natumaini itakusaidia na utatumia akili kuongeza kipato chako naenda kucheki ameniwekea 2.8 m . Nikapata mtaji wa kuanza kufuga kuku na nilikuwa nami nampelekea zawadi ya kuku wa kula kila nikivuna .
 
Ulimstaafisha Kwa hiari , uwa sielewi notion za mtu kujua ndugu yake ana uhitaji wa pesa halafu apokei Simu yake wakati mwingine ni mtu anataka kukusalimia tu
 
Hilo ni funzo kwetu pia, wote ni wastaafu watarajiwa inatakiwa tuanze kujipanga mapema
 
Eti niliwapa watoto wangu ,dah mzee wako ni jembe Sana nimetamani awe mzee wangu sio kwa harakati hizo
 
Mi bi mdashi baada ya kupokea mafao ilibidi nikate mawasiliano kabisa nisimtafute, hadi zilipoisha ndo tukaanza mawasiliano.....pesa ni nyk
Pesa kitu kingine kbs, mimi ilibidi nikae kimya kbs na maisha yangu wakati mzee amepata pension kafanya mambo yake kimyakimya bila kumshirikisha mtu, sasa pesa imekata ndo anaanza kutushitikisha kwenye shida! Patamu hapoo!
 
Hahahah
 
Maa

Skar wanastaafu na miaka 45 so unakuta kuna pesa nying hapati hapo kama miaka 15 mbele kama angestaafu na miaka 60 ndo maana wanapata hela ndogo sana sana jumlisha mshahara mdogo so anastaafu na mafao kiduchu mno kupitia hiko kikokotoo maskin
Hao ni haki yao walishaambiwa walizike tangu enzi ya yesu
 
Mama yako una muita b mkubwa wewe ni takataka
 
Pesa kitu kingine kbs, mimi ilibidi nikae kimya kbs na maisha yangu wakati mzee amepata pension kafanya mambo yake kimyakimya bila kumshirikisha mtu, sasa pesa imekata ndo anaanza kutushitikisha kwenye shida! Patamu hapoo!
Pesa nyk sana ukiishika unataaaamba, ikiisha unatia huruma πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…