Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

Mkong'oto wanaotembezewa wastaafu wanaotumia mafao kuanzisha biashara ni funzo kwamba uzoefu ni muhimu, Biashara zinabuma stress zinawamaliza wazee !

Kuna mzee ticha jirani yetu,,,mwaka juzi Alistaafu akala kama 90m, ,,, ujinga alofanya akawanunulia wanae wa2 bodaboda kwa mashart wasimpe hesabu ila matumizi yote ya nyumban waklie, akanunua kirikuu akampa dereva, hela nyinge akamalizia finishing nyumba yake,,, ! Ni mlevi mno, huu mwaka hata Mia hana,,,, kirikuu amepaki juu ya mawe, vijana walevi pkpk
Maa
Kuna askal kapewa mil 15.🤣
Skar wanastaafu na miaka 45 so unakuta kuna pesa nying hapati hapo kama miaka 15 mbele kama angestaafu na miaka 60 ndo maana wanapata hela ndogo sana sana jumlisha mshahara mdogo so anastaafu na mafao kiduchu mno kupitia hiko kikokotoo maskin
 
Nataka tufike huko. Tuna kila kitu cha kuweza kuwafikia na hata kuwazidi, kasoro yetu ni uongozi bora ambao ndiyo tatizo nililolijadili hapa. Upo?
Huwezi kumzidi mzungu wewe hata viongozi wachape kazi vipi endelea kuota mzungu sio mwenzio mpaka mwisho wa dunia
 
Mmh hapana nliona mambo ni mchanganyiko asee nikimpigia sijui alikua anahisi nataka hela zake, anapokea hasemi halooo akipokea "eeh unasemaje" nikaona hapana.....

Mi mbona sitoleagi mate mali ya mtu yoyote nkaamua kukaa kimya kwanza.
Daaah rest in peace my aunt baada ya kustaafu nilikuwa chuo akaniita nafika tukapiga story Ile jioni naondoka akanipa mazaga zaga mi nikageuka kurudi ghetto nilipofika nikamjulisha akaniambia cheki kwenye hicho kiroba Cha Michele Kuna zawadi yako natumaini itakusaidia na utatumia akili kuongeza kipato chako naenda kucheki ameniwekea 2.8 m . Nikapata mtaji wa kuanza kufuga kuku na nilikuwa nami nampelekea zawadi ya kuku wa kula kila nikivuna .
 
Mwaka 2014 nikiwa nimechapika vibaya nilimpigia my young blood brother aliyekua na ajira yenye maslahi manono akawa hapokei kabisa ili kumjulia tu hali. Nikampigia mtu wa karibu yake akapokea na kukiri kuwa yuko na ndugu yangu ila kasema hataki kuongea na nami. Hiyo siku dogo alinisababishia doa la maisha moyoni mwangu kuhusu yeye. Alidhani nataka nimwombe hela. Nikaacha kumpigia simu toka hiyo siku. Mkataba wa ile kazi ulipoisha kama mwaka mmoja baadae akarudi kwenye kibano kikali kiuchumi wakati huo mimi nimeshajipata kibiashara. Nikampa ajira kwenye biashara yangu akataka kuleta undugu na kuwadharau wafanyakazi wengine. Baada ya maonyo kadhaa nikaamua nimpige chini bila huruma.
Ulimstaafisha Kwa hiari , uwa sielewi notion za mtu kujua ndugu yake ana uhitaji wa pesa halafu apokei Simu yake wakati mwingine ni mtu anataka kukusalimia tu
 
Kuna mzee ticha jirani yetu,,,mwaka juzi Alistaafu akala kama 90m, ,,, ujinga alofanya akawanunulia wanae wa2 bodaboda kwa mashart wasimpe hesabu ila matumizi yote ya nyumban waklie, akanunua kirikuu akampa dereva, hela nyinge akamalizia finishing nyumba yake,,, ! Ni mlevi mno, huu mwaka hata Mia hana,,,, kirikuu amepaki juu ya mawe, vijana walevi pkpk washauza,,,,
Hilo ni funzo kwetu pia, wote ni wastaafu watarajiwa inatakiwa tuanze kujipanga mapema
 
Huyo shangazi itakuwa ni mwanachama wa kile chama mpaka anapika wali wa kijani 😂

Pesa usipokuwa nayo mipango huwa ni mingi sana ila ukishaishika sijui ni nini huingia na kukusahaulisha mipango yako na kuanza kufanya mambo mengine tena mengine hayana hata faida kabisa.

Mzee yeye sijui alifanyia nini akangoja za mkewe miaka michache baadae akazipiga vilevile 😂 (kuna watu wanazeeka na upendo wao) mpaka sasa mama hajawai kusema chochote na navyomjua hasemi, akifanya kitu kwa ajili ya mzee hasemi anakaa kimya na hata mambo yaende vibaya kiasi gani hutosikia akilalamika.

Maji yakishamwagika hayazoleki hamna namna ni kukubali tu uhalisia, mzee ananiacha hoi kwenye jambo moja tu, akikutana na maswali ya wazee wenzake huko bar kuwa hela alipeleka wapi anawajibu aliwapa watoto wake 😂
Eti niliwapa watoto wangu ,dah mzee wako ni jembe Sana nimetamani awe mzee wangu sio kwa harakati hizo
 
Mi bi mdashi baada ya kupokea mafao ilibidi nikate mawasiliano kabisa nisimtafute, hadi zilipoisha ndo tukaanza mawasiliano.....pesa ni nyk
Pesa kitu kingine kbs, mimi ilibidi nikae kimya kbs na maisha yangu wakati mzee amepata pension kafanya mambo yake kimyakimya bila kumshirikisha mtu, sasa pesa imekata ndo anaanza kutushitikisha kwenye shida! Patamu hapoo!
 
Pesa kitu kingine kbs, mimi ilibidi nikae kimya kbs na maisha yangu wakati mzee amepata pension kafanya mambo yake kimyakimya bila kumshirikisha mtu, sasa pesa imekata ndo anaanza kutushitikisha kwenye shida! Patamu hapoo!
Hahahah
 
Maa

Skar wanastaafu na miaka 45 so unakuta kuna pesa nying hapati hapo kama miaka 15 mbele kama angestaafu na miaka 60 ndo maana wanapata hela ndogo sana sana jumlisha mshahara mdogo so anastaafu na mafao kiduchu mno kupitia hiko kikokotoo maskin
Hao ni haki yao walishaambiwa walizike tangu enzi ya yesu
 
Inasikitisha

Mimi Mzee wangu alivyostaaf , bi mkubwa alimpa plan Safi Kwa wakati huo eneo alipokuwa amejenga maji yalikuwa ya shida akamshauri wajenge kisima halafu wasambazie watu maji, 2 watafute banda la bei rahisi wanunue wakarabati waweke wapangaji, na tatu wajenge pale hom frem hata mbili Kwa ajili ya biashara ya duka na nyingine wapangishe na mzigo bado ungebakia .

Mzee aligoma akampa bi mkubwa mil 5 tu katika mzigo aliopata, bi mkubwa hakuchoka akatafuta dalali amtafutie banda uswazi, likapatikana Kwa mil 7, akarudi Kwa Mzee , bi mkubwa akawa Yuko tayari kutoa pesa Yake Mzee amalizie mbili banda walichukue Mzee akagoma, mpaka watoto kuingilia akakubali kutoa 4 mil na bi mkubwa akaweka Yake 3 wakalizuia.

Mil 2 iliyobakia bi mkubwa akaanza ujenzi pale nyumbani wa frem zake za biashara, akasimamisha frem 2 aliongezea pesa vikoba, akaja akafungua duka la mahitaji ya nyumbani na grocery ya vinywaji...

Turudi Kwa Mzee yeye akaenda kukodi eneo la mtu akalifanyia ukarabati wa kutosha akafungua bar, na mini supermarket Kwa mbele biashara ilifilisika yote pesa ikakata mwenye eneo akamtimua.

Wakati huo bi mkubwa ana wasiwasi anafanya biashara zake bila ghasia Mzee akakusanya Vitu vilivyobakia katika biashara zake akazirudisha nyumbani kwenye goli la bi mkubwa tukawa tunaishi tunategemea biashara za nyumbani na lile pagale hapo limekarabatiwa pesa mzee mkali Nazo Kodi anazuia yeye wakati mwanzo hakutaka...

Swala la kisima bi mkubwa alikuwa anasikitika Sana mpaka Leo hi ...,.

Wastaafu wengi hawachangi Karata zao vizuri na wakishapata Hela ni mtihani Sana...
Mama yako una muita b mkubwa wewe ni takataka
 
Pesa kitu kingine kbs, mimi ilibidi nikae kimya kbs na maisha yangu wakati mzee amepata pension kafanya mambo yake kimyakimya bila kumshirikisha mtu, sasa pesa imekata ndo anaanza kutushitikisha kwenye shida! Patamu hapoo!
Pesa nyk sana ukiishika unataaaamba, ikiisha unatia huruma 😂😂
 
Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu.

Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa ni fedha nyingi sana mfano milioni 200, 150, 100, 50, 30, n.k. kulingana na kazi walizofanya.

Wengi wanapopata pesa hizi, matumizi ya mwanzoni hununua gari, kujenga / kukarabati nyumba, kujaza fenicha, n.k. Baada ya hapo wazo linawajia la kufanya biashara lasivyo pesa zitaisha.

Biashara ni kitu kipana, Mbali na fedha za mtaji biashara inahitaji Ujuzi, Uzoefu, Maarifa, Connections na Taarifa za Kutosha, kuvipata vitu hivi kwa inabidi uwe na biashara miaka takribani 10 wakati upo kazini kusudi ukistafu tayari una experience ya kutosha, Ukipewa mafao huendi kuanza, unaenda kujipanua.

Tatizo linapokuja ni kwamba wastaafu wengi walizoea mishahara na posho hawana uzoefu wa Biashara, Hapo ndipo ukikosea step mkong'oto haukwepeki.

Mzee anaona anunue bajaji / bodaboda bila kuzijua stress za vijana walivyo wasumbufu, Mzee anafungua duka kubwa bila kujua ushindani ulivyo, Mzee anafungua biashara bila kujali location, wengine wanaugulia maumivu kimya kimya ya kuingizwa chaka na watoto wa mjini kama ilivyo kwa wafanyabiashara wengi wageni, n.k.

Mafao yote yamedumbukizwa kwenye biashara ambazo hawana uzoefu nazo, stress zinaanza kuwatafuna kwa speed ya 4g kuanzia changamoto za wafanyakazi wezi, hawajakaa sawa taskforce ya Tra wanachomoa kodi zao kwenye account za benki, washindani wanauza mzigo kwa bei chee, n.k.
Kweli kabisa boss
 
Back
Top Bottom