Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tuambie kwanza Mangula yupo wapi??? Mbona hatumuoni kwenye kampeni za magufuli???Ndugu zangu,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe ajitenga na kampeni za Chadema kuusaka Urais. Ikumbukwe mwaka 2015 Mbowe alishiriki kampeni za Lowassa kikamilifu hadi kufikia kupoteza fahamu katika kufurahia "nyomi" na michango ya kampeni toka kwa marafiki wa EL.
Inasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye.
Mwaka huu mwenyekiti wenu asiposaula hadharani labda siyo mimi! Kesho yuko huku Bukoba tunamsubiri aje atutukane tena, safari hii tunamzomea!Kijana jikite kwenye hoja
Haumwelewi mbowe wewe,😂😂😂😂😂Umekosa la kuandika umeanza kuokoteza vya kuandika na ndio maana unajipinga mwenyewe, Mbowe hajawahi au kudhaniwa kuwa na akiri ya kijinga kama hiyo.
Huyu ana nguvu kuliko Slaa na Lowassa..2015 Magu hakuwahi kumjibu Lowassa ila mwaka huu kachanganyikiwa"kuna vitu vinauzi"Mwambieni Magu akimgusa Lissu Watanzania wataingia barabarani...jana nimeona chuki yake na hasira kwa Lissu...Tulushindwa kuvaa kwa lowassa aje kuwa huyo kiduku.shame.
Tena watatembea wanapuliza maputo road.Mwaka huu CHADEMA itawafanye mvae boxer vicwani!!
Pamoja na kushushwa jukwaani huko Hai,Mbowe amegoma kutoa pesa ya chama kwa kampeni,Lissu amesunda pesa aliochangiwa na mabeberu anatembeza bakuliInasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye
Duh...!.
P
Mungu mwenyewe ukimkosea anakuadhibu ndio maana akashusha mamlaka duniani na maandiko yanasema tuheshimu maamlaka.Mwambieni kuwa makaburu wa Afrika kusini waliijenga S.A kama ULAYA, lakini haikuwafanya "WASAUZI" wawapende makaburu kwa UKATILI wao.
Mnamo mwaka 1994 makaburu waliondolewa madarakani, kwahiyo TUDARAJA 'twake' tusimpe uhalali wa kulazimisha KUTAWALA watu kwa MKONO WA CHUMA.
Mh. Lissu anammudu jiwe vzr tuu ndo maana Mbowe ameona afanye mambo mengineNdugu zangu,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe ajitenga na kampeni za Chadema kuusaka Urais. Ikumbukwe mwaka 2015 Mbowe alishiriki kampeni za Lowassa kikamilifu hadi kufikia kupoteza fahamu katika kufurahia "nyomi" na michango ya kampeni toka kwa marafiki wa EL.
Inasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye.
Tulushindwa kuvaa kwa lowassa aje kuwa huyo kiduku.shame.
kamanda hali ni mbayaMbowe karibu jimboni, karibu sana. Watu wetu wanaelekea kibra.
Ni kweli pana shida sana ndio sababu mpaka Magufuli amefikia kuwakemea wapiga kura,yaani chadema ni shida kwa mafisiCHADEMA kuna shida kubwa Sana.
Hana famila huyu,yy ndo anasubiri viti maalum.Anapodanga anafikiri na wenzie wanaishi kwa kudanga.Huyu jamaa asipoandika uzi wa Lissu ndani ya dakika tano anaugua. Sijui anafikiria saangapi maendeleo yake na familia yake.
Lissu akiongea anaandika uzi, akikaa kimya anaandika uzi, Lissu akisema CCM wako hivi anaandika uzi, akisema CHADEMA watafanya hili anaandika uzi, Mbowe akiongea anaandika uzi, asipoongea anachanganyikiwa. Ni wa kupuuza tu.
kamanda umemwona Mbowe?Chadema ni taasisi. Eti mbowe kamsusa. Lumumba wote akili zao zipo.tumboni.
Jikite kwenye mada.Hana famila huyu,yy ndo anasubiri viti maalum.Anapodanga anafikiri na wenzie wanaishi kwa kudanga.