Uchaguzi 2020 "Mkono mtupu haulambwi" Mbowe ajitenga na kampeni za Lissu

Uchaguzi 2020 "Mkono mtupu haulambwi" Mbowe ajitenga na kampeni za Lissu

Ndugu zangu,

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe ajitenga na kampeni za Chadema kuusaka Urais. Ikumbukwe mwaka 2015 Mbowe alishiriki kampeni za Lowassa kikamilifu hadi kufikia kupoteza fahamu katika kufurahia "nyomi" na michango ya kampeni toka kwa marafiki wa EL.

Inasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye.
Tuambie kwanza Mangula yupo wapi??? Mbona hatumuoni kwenye kampeni za magufuli???
 
Umekosa la kuandika umeanza kuokoteza vya kuandika na ndio maana unajipinga mwenyewe, Mbowe hajawahi au kudhaniwa kuwa na akiri ya kijinga kama hiyo.
Haumwelewi mbowe wewe,😂😂😂😂😂
 
Tulushindwa kuvaa kwa lowassa aje kuwa huyo kiduku.shame.
Huyu ana nguvu kuliko Slaa na Lowassa..2015 Magu hakuwahi kumjibu Lowassa ila mwaka huu kachanganyikiwa"kuna vitu vinauzi"Mwambieni Magu akimgusa Lissu Watanzania wataingia barabarani...jana nimeona chuki yake na hasira kwa Lissu...
 
Inasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye
Pamoja na kushushwa jukwaani huko Hai,Mbowe amegoma kutoa pesa ya chama kwa kampeni,Lissu amesunda pesa aliochangiwa na mabeberu anatembeza bakuli
Mbowe amenuna,ameona hawawezi kwenda ikulu kwa kutumia Tigopesa
 
CCM imebadilika kuwa kibonzo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1600143906047_adobe.jpg
 
Duh...!.
P

Kuna hali ngumu sana hapa Hai, Madiwani wote waliokuwa Chadema wamehamia CCM na wamepitishwa kugombea. Inaonekana kama ulikuwa kiongozi wa cheo cha juu Chadema Wilaya au Mkoani Kilimanjaro, ndio kama moja ya sifa muhimu kuteuliwa kugombea CCM.

Ofisi za Chadema Hai zimegeuka kuwa ofisi za CCM na wana Hai tayari wameaminishwa kuwa shida zao zote zimetokana na Mbowe, kwa Upoyoyo wa wananchi wa Hai tayari wanaamini hivyo.

Mbaya zaidi, hatujui Magufuli amewaaminisha nini matajiri wa KiMachame karibu wote wamehamia CCM. Na imekuwa taabu hata michango ya kampeni CCM wako njema sana na Chadema 'Kamanda komaa'

Wagombea wa Chadema ni dhaifu sana, ni kama chama kimejitayarisha kushindwa, Wagombea wa CCM wametayarishwa,wanaaminiwa na wanaheshimika na jamii hata kabla ya kugombea Udiwani.

UCHAGUZI MGUMU SANA, LAZIMA MBOWE UJE NA MFUMO MPYA WA KAMPENI AMBAO HAUJAWAHI KUTOKEA ILI USHINDI UPATIKANE.
 
Mwambieni kuwa makaburu wa Afrika kusini waliijenga S.A kama ULAYA, lakini haikuwafanya "WASAUZI" wawapende makaburu kwa UKATILI wao.

Mnamo mwaka 1994 makaburu waliondolewa madarakani, kwahiyo TUDARAJA 'twake' tusimpe uhalali wa kulazimisha KUTAWALA watu kwa MKONO WA CHUMA.
Mungu mwenyewe ukimkosea anakuadhibu ndio maana akashusha mamlaka duniani na maandiko yanasema tuheshimu maamlaka.
 
Ndugu zangu,

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe ajitenga na kampeni za Chadema kuusaka Urais. Ikumbukwe mwaka 2015 Mbowe alishiriki kampeni za Lowassa kikamilifu hadi kufikia kupoteza fahamu katika kufurahia "nyomi" na michango ya kampeni toka kwa marafiki wa EL.

Inasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye.
Mh. Lissu anammudu jiwe vzr tuu ndo maana Mbowe ameona afanye mambo mengine
 
Chadema ni taasisi. Eti mbowe kamsusa. Lumumba wote akili zao zipo.tumboni.
 
Ningekujibu ila sitaki kukupa strategic plans za chadema. It is obvious what they are doing. Jiulize mgombea mwenza yuko wapi?

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa asipoandika uzi wa Lissu ndani ya dakika tano anaugua. Sijui anafikiria saangapi maendeleo yake na familia yake.
Lissu akiongea anaandika uzi, akikaa kimya anaandika uzi, Lissu akisema CCM wako hivi anaandika uzi, akisema CHADEMA watafanya hili anaandika uzi, Mbowe akiongea anaandika uzi, asipoongea anachanganyikiwa. Ni wa kupuuza tu.
Hana famila huyu,yy ndo anasubiri viti maalum.Anapodanga anafikiri na wenzie wanaishi kwa kudanga.
 
Back
Top Bottom