Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tuambie kwanza Mangula yupo wapi??? Mbona hatumuoni kwenye kampeni za magufuli???Ndugu zangu,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe ajitenga na kampeni za Chadema kuusaka Urais. Ikumbukwe mwaka 2015 Mbowe alishiriki kampeni za Lowassa kikamilifu hadi kufikia kupoteza fahamu katika kufurahia "nyomi" na michango ya kampeni toka kwa marafiki wa EL.
Inasemekana sababu nyingine ni hali tete ya ubunge wa wilaya ya Hai kwani kutoka kwa Mbunge anayesubiri kuapishwa ndiye.