Mkono wa Eid Salum Abdallah na Cuban Marimba Chacha Band

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND

Kuna wakati huwa kuna mambo nayajua lakini huogopo kueleza kwa hofu kuwa wasije watu wakaniita muongo.

Naogopa wataniita muongo kwa sababu inawezekanaje mtu mmoja akawa kila mtu yeye anamjua, kamuona na anajua historia yake?

Ukimtaja Frank Humplick mimi namjua na nikienda hadi nyumbani kwake Lushoto, Peter Colmore namjua nk. nk.

Frank Humplick alikuwa mwanamuziki mkubwa akiimba na dada zake katika miaka ya 1950 na mtu aliyejenga carrier yake ni Peter Colmore kama alivyojenga za wengine mfano wa Eduardo Masengo.

Salum Abdallah alikuwa rafiki ya baba yangu Said Salum Abdallah.

Nyimbo ya Salum Abdalla, "Mkono wa Eid," ndiyo ilikuwa ikipigwa TBC siku ya Eid tulipokuwa watoto tukiusikia imewekwa tunajua kumekucha Eid imeshaingia.

Nyimbo hii inaanza kwa kupulizwa tarumbeta zilizotiwa ''mute,'' chombo kinachobadili sauti ya tarumbeta kuifanya iwe ''sharp.''

Naamini mpiga tarumbeta hii ni wanafunzi wa Father Canute mmeshionari aliyewafundisha muziki na kupuliza tarumbeta vijana wengi wa Morogoro.

Baba yangu alipata kunihadithia historia ya Father Canute.

Ukisikiliza muziki wa Morogoro Jazz wa miaka ya 1950 utakuta umetawalisa sana na tarumbeta zilizokuwa zikipulizwa kwa ufundi mkuwa.
Nimemuona kwa macho yangu Salum Abdallah mwaka wa 1964 Mtaa wa Aggrey na Nyamwezi huku Mtaa wa Swahili ilipokuwa Cuban Marimba Branch.

Nilikuwa napita nje ya club na Salum Abdallah alikuwa ndani milango ilikuwa wazi na yeye na mtu mwingine walikuwa wako pale wanapiga magitaa na Salum Abdallah akiiimba.

Sikubanduka hapo.
Mwaka wa pili 1965 Salum Abdallah akafariki.

Iko siku nimekwenda likizo Tabora kwa babu yangu.
Niko uani na bibi yangu Bi. Zena bint Farijala radio inapiga nyimbo ya Salum Abdallah.

Bibi akaniona nimetulia namsikiliza Salum Abdallah na Cuban Marimba kwa utulivu mkubwa.

Bibi akaniambia, "Salum Abdallah alikuwa rafiki ya baba yako na alikuwa kila akija Tabora na bendi yake lazima aje hapa kumsalimia baba yako."

Hii ilikua miaka ya 1950.
Nimekuwa nikimsikiliza Salum Abdallah udogoni kwangu wakati huo akirekodi na kampuni inaitwa, "Mzuri."

Kampuni hii ndiyo ikirekodi bendi nyingi za Tanganyika pamoja na Kiko Kids ya Tabora.

Ilitokea katika miaka hii ya karibuni kutafutwa na wamiliki wa kampuni hii hivi sasa wako Ujerumani wakitaka taarifa za Salum Zahoro na wakati ule alikuwa yu hai.

Hawa Wajeruamani ndiyo walionunua hati miliki ya kampuzi ya Mzuri.
Niliwaeleza kile nilichojua.

Baada ya kukamilisha walichokuwa wakifanya waliniletea album la "vinyl" yaani muziki uliorekodiwa katika santuri si CD ukiwa kwenye nembo ya "Mzuri."

Hii nembo ilinirudisha nyuma mwaka wa 1957 nikiwa na umri wa miaka mitano na nikimsikiliza Salum Abdallah katika gramophone iliyokuwapo nyumbani kwetu.

Peter Colmore alikua maarufu Sana ndani ya east Africa na alikua anaishi Nairobi .Akiwa muandaaji mkubwa wa mziki .
 
Sijui kama kampuni yake ya ujenzi iliyokuwa inaendeswa na mjane wake ya SAS ibado ipo. Miaka ya themanini nilipokuwa Morogoro kampuni ilikuwa bado ipo pale mkabala na Community Center. Kitu kimoja inaonekana kama Salim Abdallah alitabiri kifo chake alipoimba wimbo huu

Ila katika nyimbo zake zote, ninadhani uliotia fora ni huu

Babe...

1651767621951.png
 
Ila katika nyimbo ake zote, ninadhani uliotia fora ni huu

Wahenga mpo vizuri sana na mmepita mulemule,baba yake Salum Abdallah "Mzee Yazidu" alikuwa partner wa baba yangu mzazi katika biashara sikuwahi kumuona Salum abdallah kwani nilisikia alifariki na ajali ya gari pale Msamvu Round about lakini mara nyingi miaka ya 80 nilikuwa natumwa sana nyumbani kwao pale Nunge na hata Familia yangu ilipohamia Dar 1985 bado ushirikiano ulikuwepo kati ya baba yangu na mzee yazid...Mzee Yazidu alikuwa mwarabu pure in addition siku ya msiba wa Salum watu walijipanga barabarani hadi Msamvu kupokezana jeneza,jeneza halikubebwa na gari hata kidgo wakati huo
 
Alifariki kwa ajali ya gari kule Msanvu lakini siyo kwenye hiyo round about kwa vile ilikuwa haijajengwa wakati huo.
 
Sijui kama kampuni yake ya ujenzi iliyokuwa inaendeswa na mjane wake ya SAS ibado ipo. Miaka ya themanini nilipokuwa Morogoro kampuni ilikuwa bado ipo pale mkabala na Community Center. Kitu kimoja inaonekana kama Salim Abdallah alitabiri kifo chake alipoimba wimbo huu

Ila katika nyimbo zake zote, ninadhani uliotia fora ni huu

Kweli kabisa mkuu huu wimbo uko poa sana.
 
SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND

Kuna wakati huwa kuna mambo nayajua lakini huogopo kueleza kwa hofu kuwa wasije watu wakaniita muongo.

Naogopa wataniita muongo kwa sababu inawezekanaje mtu mmoja akawa kila mtu yeye anamjua, kamuona na anajua historia yake?

Ukimtaja Frank Humplick mimi namjua na nikienda hadi nyumbani kwake Lushoto, Peter Colmore namjua nk. nk.

Frank Humplick alikuwa mwanamuziki mkubwa akiimba na dada zake katika miaka ya 1950 na mtu aliyejenga carrier yake ni Peter Colmore kama alivyojenga za wengine mfano wa Eduardo Masengo.

Salum Abdallah alikuwa rafiki ya baba yangu Said Salum Abdallah.

Nyimbo ya Salum Abdalla, "Mkono wa Eid," ndiyo ilikuwa ikipigwa TBC siku ya Eid tulipokuwa watoto tukiusikia imewekwa tunajua kumekucha Eid imeshaingia.

Nyimbo hii inaanza kwa kupulizwa tarumbeta zilizotiwa ''mute,'' chombo kinachobadili sauti ya tarumbeta kuifanya iwe ''sharp.''

Naamini mpiga tarumbeta hii ni wanafunzi wa Father Canute mmeshionari aliyewafundisha muziki na kupuliza tarumbeta vijana wengi wa Morogoro.

Baba yangu alipata kunihadithia historia ya Father Canute.

Ukisikiliza muziki wa Morogoro Jazz wa miaka ya 1950 utakuta umetawalisa sana na tarumbeta zilizokuwa zikipulizwa kwa ufundi mkuwa.
Nimemuona kwa macho yangu Salum Abdallah mwaka wa 1964 Mtaa wa Aggrey na Nyamwezi huku Mtaa wa Swahili ilipokuwa Cuban Marimba Branch.

Nilikuwa napita nje ya club na Salum Abdallah alikuwa ndani milango ilikuwa wazi na yeye na mtu mwingine walikuwa wako pale wanapiga magitaa na Salum Abdallah akiiimba.

Sikubanduka hapo.
Mwaka wa pili 1965 Salum Abdallah akafariki.

Iko siku nimekwenda likizo Tabora kwa babu yangu.
Niko uani na bibi yangu Bi. Zena bint Farijala radio inapiga nyimbo ya Salum Abdallah.

Bibi akaniona nimetulia namsikiliza Salum Abdallah na Cuban Marimba kwa utulivu mkubwa.

Bibi akaniambia, "Salum Abdallah alikuwa rafiki ya baba yako na alikuwa kila akija Tabora na bendi yake lazima aje hapa kumsalimia baba yako."

Hii ilikua miaka ya 1950.
Nimekuwa nikimsikiliza Salum Abdallah udogoni kwangu wakati huo akirekodi na kampuni inaitwa, "Mzuri."

Kampuni hii ndiyo ikirekodi bendi nyingi za Tanganyika pamoja na Kiko Kids ya Tabora.

Ilitokea katika miaka hii ya karibuni kutafutwa na wamiliki wa kampuni hii hivi sasa wako Ujerumani wakitaka taarifa za Salum Zahoro na wakati ule alikuwa yu hai.

Hawa Wajeruamani ndiyo walionunua hati miliki ya kampuzi ya Mzuri.
Niliwaeleza kile nilichojua.

Baada ya kukamilisha walichokuwa wakifanya waliniletea album la "vinyl" yaani muziki uliorekodiwa katika santuri si CD ukiwa kwenye nembo ya "Mzuri."

Hii nembo ilinirudisha nyuma mwaka wa 1957 nikiwa na umri wa miaka mitano na nikimsikiliza Salum Abdallah katika gramophone iliyokuwapo nyumbani kwetu.

Salum Abdalla’s Msitu na Nyika.

I recall the lyrics from my childhood in the early to mid 1950s. I lived across from the Kariakoo Market -- when it was just a big banda- not the modern fancy! market-that is today. They had loudspeakers over which they played TBC - our one and only radio station then.

Here is what I remember
Salum Abdalla’s Msitu na Nyika (Lyrics)

“Nimo safarini
Naenda msitu na nyika

Nimo mapumzikoni
Ninamopunzika

Tabu naibaini
Nami bado sijafika

Nitafanaya nini
Duniani kusumbuka

Masikini jua limesha tawanywa na mawingu
Litaka nyesha ulimwengu

Nahapo nilipokua
Nipochini ya mkungu

Nagiza limeisha ingia
Sioni njia yangu”
 
Litaka nyesha mvua ilowanishe ulimwengu

Nahapo nilipokua
Nipochini ya mkungu

Nagiza limeisha ingia
Sioni njia yangu”
 
Back
Top Bottom