Mkopaji anatakiwa kudai fidia iwapo Benki imeuza nyumba yake bei ndogo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.

Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa.

Msimamo huu pia ni wa mahakama ya rufaa katika maamuzi mengi ikiwemo katika kesi Na.29/2009 CRDB BANK PLC vs JAMES VICENT MGAYA.

Ni kweli mtu kashindwa kulipa mkopo lakini si sawa kuuza mali yake bei mnayojisikia. Ni kinyume cha sheria.

Aidha, kwa wale ambao mali zao zimeuzwa bei chee na Taasisi za fedha Sheria imeelekeza mambo mawili ya kufanya.

Moja, Kifungu cha 133(2) Sheria ya Ardhi, ni kuwa unaweza kufungua kesi ukiomba mnada au uuzaji huo kubatilishwa.

Pili, katika kesi ya Cuckmere Brick Co. vs Mutual Finance (1971) 2 All E.R., 633 unaweza kufungua kesi kuomba fidia.

Kwahiyo unaweza kuchukua hatua hizo mbili kwa wakati mmoja au ukachakua hatua mojawapo.

Utatakiwa kujiandaa kuthibitisha thamani halisi ya ardhi yako na kuwa thamani iliyouzwa ni ya chini mno.

Uthibitishaji wa hili ni pamoja na Ripoti ya mthamini(Valuation Report) pamoja na kingine chochote ambacho kinaweza kuonesha ukubwa na thamani halisi ya ardhi yako.

Suala la msingi ni kuwa usikubali ardhi yako iuzwe bei ya kutupa hata kama umeshindwa kurejesha mkopo.

Andiko la BASHIR YAKUB, WAKILI
 
haya mambo ya mtandaoni achana nayo ndugu yangu wewe ukikopa hakikisha una plan ya kurudisha hela na ikitokea ukafeli we kubali yaishe …

nilishudia jamaa nyumba ikiuzwa na chenji 39,750 akarudishiwa.

imagine nyumba ya milioni zaidi ya 80 unarudishiwa 39,750 na deni ilikua milioni 22 tu.

nyie acheni bhana …

sheria kwenye makaratasi zinafurahisha kweli kweli …
 
Damn. Situation yangu kwa Sasa. 🙏. Sijui Sasa iyo valuation report naipataje ase. Yeyote anaeweza nisaidia 🙏.
Valuation Report ya Bank wakati unaomba mkopo nayo ni kipengele kingine, maana wanaweza kataa hiyo ya Ardhi.

All in all madeni ya Bank sijui yana nin, Mungu akusimamie mkuu.
 
Kwa hiyo nyumba mfano ilikua na thamani ya 20Mil ila wakati wa mnada ikaenda 50 Mil hiyo chenji inayobaki wanakurudishia au ndo unaambulia patupu
 
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.

Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa.

Msimamo huu pia ni wa mahakama ya rufaa katika maamuzi mengi ikiwemo katika kesi Na.29/2009 CRDB BANK PLC vs JAMES VICENT MGAYA.

Ni kweli mtu kashindwa kulipa mkopo lakini si sawa kuuza mali yake bei mnayojisikia. Ni kinyume cha sheria.

Aidha, kwa wale ambao mali zao zimeuzwa bei chee na Taasisi za fedha Sheria imeelekeza mambo mawili ya kufanya.

Moja, Kifungu cha 133(2) Sheria ya Ardhi, ni kuwa unaweza kufungua kesi ukiomba mnada au uuzaji huo kubatilishwa.

Pili, katika kesi ya Cuckmere Brick Co. vs Mutual Finance (1971) 2 All E.R., 633 unaweza kufungua kesi kuomba fidia.

Kwahiyo unaweza kuchukua hatua hizo mbili kwa wakati mmoja au ukachakua hatua mojawapo.

Utatakiwa kujiandaa kuthibitisha thamani halisi ya ardhi yako na kuwa thamani iliyouzwa ni ya chini mno.

Uthibitishaji wa hili ni pamoja na Ripoti ya mthamini(Valuation Report) pamoja na kingine chochote ambacho kinaweza kuonesha ukubwa na thamani halisi ya ardhi yako.

Suala la msingi ni kuwa usikubali ardhi yako iuzwe bei ya kutupa hata kama umeshindwa kurejesha mkopo.

Andiko la BASHIR YAKUB, WAKILI

Ni nani ana define bei halali? Kuna factors nyingi za kuwa considered hapo and one of them is recovery pressure....

Huwezi shinda kesi za hivi......
 
haya mambo ya mtandaoni achana nayo ndugu yangu wewe ukikopa hakikisha una plan ya kurudisha hela na ikitokea ukafeli we kubali yaishe …

nilishudia jamaa nyumba ikiuzwa na chenji 39,750 akarudishiwa.

imagine nyumba ya milioni zaidi ya 80 unarudishiwa 39,750 na deni ilikua milioni 22 tu.

nyie acheni bhana …

sheria kwenye makaratasi zinafurahisha kweli kweli …

Jamaa akapokea?
 
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.

Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa.

Msimamo huu pia ni wa mahakama ya rufaa katika maamuzi mengi ikiwemo katika kesi Na.29/2009 CRDB BANK PLC vs JAMES VICENT MGAYA.

Ni kweli mtu kashindwa kulipa mkopo lakini si sawa kuuza mali yake bei mnayojisikia. Ni kinyume cha sheria.

Aidha, kwa wale ambao mali zao zimeuzwa bei chee na Taasisi za fedha Sheria imeelekeza mambo mawili ya kufanya.

Moja, Kifungu cha 133(2) Sheria ya Ardhi, ni kuwa unaweza kufungua kesi ukiomba mnada au uuzaji huo kubatilishwa.

Pili, katika kesi ya Cuckmere Brick Co. vs Mutual Finance (1971) 2 All E.R., 633 unaweza kufungua kesi kuomba fidia.

Kwahiyo unaweza kuchukua hatua hizo mbili kwa wakati mmoja au ukachakua hatua mojawapo.

Utatakiwa kujiandaa kuthibitisha thamani halisi ya ardhi yako na kuwa thamani iliyouzwa ni ya chini mno.

Uthibitishaji wa hili ni pamoja na Ripoti ya mthamini(Valuation Report) pamoja na kingine chochote ambacho kinaweza kuonesha ukubwa na thamani halisi ya ardhi yako.

Suala la msingi ni kuwa usikubali ardhi yako iuzwe bei ya kutupa hata kama umeshindwa kurejesha mkopo.

Andiko la BASHIR YAKUB, WAKILI
Kazi nzuri sana,ila kwa kuongezea unaweza usihangaike hata kufungua kesi ila ukatulia tu ,kwani wakati mkopeshaji anauza mali ya rehani chini ya bei yake halisi inamaana alikubali kiasi hicho kulipa deni hata kama hakitoshi , kesi ya I& M Bank (T()Limited v. Mustafa's (2005)Limited and two others, Commercial Case No.15 of 2022(HC- Commercial division) na EFC TANZANIA MICROFINANCE BANK LTD & Two Others v. Lucy Diu Simtowe &another ,Land Appeal No 2260 of 2022... "kwani Jaji alisema kama mkopeshaji ataamua kuuza mali ambayo iliwekwa rehani kwa bei ya chini ya ile iliyofanyiwa tathimini au chini ya bei halisi ili kufidia deni lake basi hawezi tena kufungua kesi yoyote dhidi ya mkopaji kwa kiasi kilichobaki."
 
Kwani unapo omba mkopo si valuation inafanyika kwanza ya dhamana yako then ndio mkopo unatoka kwamba umekopa millions 50 thamani ya dhamana yako ni 70,000, 000/ hivyo ukishindwa kulipa humuongozo utafuatwa
 
Ni nani ana define bei halali? Kuna factors nyingi za kuwa considered hapo and one of them is recovery pressure....

Huwezi shinda kesi za hivi......
siku hizi mikopo haitoki kirahisi lazima ifanyike tathimini ya mali ambayo itakuwa dhamana ya mkopo,na mara nyingi tathimini hufanywa na mkopaji na utapewa nakala ya utathimini ambayo utapeleka katika tasisi husika kwa ajili ya wao kuifanyia kazi na kupitia utathimini uliofanywa
 
Back
Top Bottom