Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

Wenye uelewa wa kutosha wa Uchumi fedha wanapokaa kimya husababisha wenye ufahamu wa mashaka waonekane wana point.

Johnthebaptist uko sawa kwa unachozungumzia na point zako zipo sawa kabisa, wenye uelewa wachangiaji wachangie prons za hatua hiyo lakini ni vizuri umeelezea cons.
 
Hiyo hahitaji elimu hata ya kindergarten kujua ila kwa kuwa Chama kile uelewa wao wa vitu vikubwa ni mdogo, tunaacha tu wapumuliane ujinga na uelewa finyu
 
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Primitive thinking...
 
Deni la taifa limepanda awamu ya TANO kutoka 35 Trillion hadi 78 Trilion. Mpo watanzaniaaa? Sasa kama nyie mpo Mil 60 gawanya kila mtu anadaiwa bei gani.
 
Sikujua Kama wewe dogo Ni mpumbavu hivi

Ila Hawa jamaa kujificha kwenye kivuli Cha Magufuli ndio wapumbavu zaidi
Shida ninini kwenye Deni?kwa sbb deni la nje 2015 likiwa dolla 15.5Billion na katika hizo deni la sector binafsi lilikiwa dolla 2.3 billion..Sasa by march 2021 magufuri kufa ..Deni la nje ni 24.4Billion na kati ya hizo deni la sector binafsi ni dolla5.4 billion ..
mikopo ya ndani labda..by march 2021 deni lilikuwa 16 trion wakati huo lilikuwa trillion 8.6 mwakab2015.Lakini deni la ndeni sehemu kubwa ni Government securities na hera amabzo serikali haipeleki michango yake NSSF.
Kwa hiyo sikweli kusema magufuri amekopa trillion 77 kwa miaka mitano..Lakini pia mikopo mingi ya nje ni ile ya bei nafuu kama Worldbank..na African dvlpt bank..
Lakini pia tuangalie miradi ya madaraja..barabara ..reli na umeme rufiji ndo tujiulize je..hzio hera zinepotea au zimewekwezwa kwenye eneo sahihi
 
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Yote ni mi CCM , mifisi inayoiangamiza nchi
 
Lile gari la V8 amekuazima Comrade Polepole ?? Au aliwahi kukupa lift ?
 
Wenye uelewa wa kutosha wa Uchumi fedha wanapokaa kimya husababisha wenye ufahamu wa mashaka waonekane wana point.

Johnthebaptist uko sawa kwa unachozungumzia na point zako zipo sawa kabisa, wenye uelewa wachangiaji wachangie prons za hatua hiyo lakini ni vizuri umeelezea cons.

Umejengewa kitu gani na CCM ??

wenzako wamepata V8, mwinyi alizawadiwa nyumba na benzi BMW sijui mercedez ? Ulipewa hata nauli ya daladala kufika manzese uwanja wafisi ??
 
Kosa ni kuwa na Mikopo ya Magufuli au yoyote yule ? Inabidi tuwe na Mikopo ya Nchi baada ya kufanya upembuzi yakinifu..., kila mtu akijikopea tu bila check and balances ni kurithisha madeni kwa vizazi vijavyo.... Kwahio issue ni je kilifanyika kitu na kilichofanyika kilipitia ngazi husika na kupitishwa au mtu alijiamulia tu kama vile anatumia pesa ya mshahara wake
 
Na waendelee tu kukopa , sisi tunasubiri tupewe paketi ya sigara kali, kikoi, sahani ya pilau na wengine soda au bia moja , huku tukiimba zidumu fikra za mwenyekiti wa chama na tukikimbizana na mwenge mitaani
 
Hizi akili tope tope huwa zinatoka wapi, shule za kata, private, za serikali, mchanganyiko au wapi, hebu nijuzeni tafadhari... deni ni deni tu, ukipewa tu fedha, kumbuka makubaliano ya kulipa yako pale pale hata kabla ya muda wa kulipa kufika na riba juu hata kama ukilipa kabla ya wakati... early settlement fee inakuhusu. Lipeni tu hakuna namna... janja janja ya nyani haifui dafu unapodaiwa...
 
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.

Mradi wa chato airport unaanza kuleta kipato lini?
 
Tena mwenda zake alikopa sana ndani na iliathili pakubwa mzunguko wa ndani.
Tumia akili kidogo maana umekuwa kama dampo la uchafu
 
Back
Top Bottom