Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Imbecile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uachwe hapahapa, utawafumbua macho wengimoods pelekeni huu Uzi kwenye Uzi mkuu
Primitive thinking...Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.
Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.
Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.
Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Mahaba mengine yanageuka ujinga..Primitive thinking...
Shida ninini kwenye Deni?kwa sbb deni la nje 2015 likiwa dolla 15.5Billion na katika hizo deni la sector binafsi lilikiwa dolla 2.3 billion..Sasa by march 2021 magufuri kufa ..Deni la nje ni 24.4Billion na kati ya hizo deni la sector binafsi ni dolla5.4 billion ..Sikujua Kama wewe dogo Ni mpumbavu hivi
Ila Hawa jamaa kujificha kwenye kivuli Cha Magufuli ndio wapumbavu zaidi
Yote ni mi CCM , mifisi inayoiangamiza nchiVitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.
Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.
Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.
Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Wenye uelewa wa kutosha wa Uchumi fedha wanapokaa kimya husababisha wenye ufahamu wa mashaka waonekane wana point.
Johnthebaptist uko sawa kwa unachozungumzia na point zako zipo sawa kabisa, wenye uelewa wachangiaji wachangie prons za hatua hiyo lakini ni vizuri umeelezea cons.
Kosa ni kuwa na Mikopo ya Magufuli au yoyote yule ? Inabidi tuwe na Mikopo ya Nchi baada ya kufanya upembuzi yakinifu..., kila mtu akijikopea tu bila check and balances ni kurithisha madeni kwa vizazi vijavyo.... Kwahio issue ni je kilifanyika kitu na kilichofanyika kilipitia ngazi husika na kupitishwa au mtu alijiamulia tu kama vile anatumia pesa ya mshahara wake
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.
Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.
Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.
Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Mradi wa chato airport unaanza kuleta kipato lini?
bado wanaufanyia upembuzi yakinifu wa kuanika mahindi na kuchambulia pamba, wakimaliza tu, watatoa mrejesho !Mradi wa chato airport unaanza kuleta kipato lini?