Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kirahisi hivyo yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuHabari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele.
Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba).
Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote walivyo taja ninavyo na vinapatikana 100%
Kitu ambacho mpaka sasa kinanikosesha huu Mkopo ni DHAMANA ya nyumba.
Kiwanja ninacho lakini hawataki kiwanja ambacho hakijaendelezwa na mimi sijajenga.
Hivyo wameniambia nitafute mdhamini atakaeweza nidhamini mwenye Nyumba.
Nimekileta HAPA JamiiForums nikiamini kuja watu wengi ambao mpo mtaweza nisaidia katika hili.
Nina uhitaji wa Mil.10 lakini CRDB wameangalia Account na kusema wanaweza nipa up to 20Mil.
Kwa atakae nidhamini nilikua nimepanga Kumpa 3m (kama asante) hiii nitampa yeye na hatoirudsha.
Kurudisha mkopo Aniachie Mimi nitaurudsha wote.
Au
Nichukue 20m tugawane 50/50 lakini kurejesha turejeshe wote "tusaidiane"
Naomba kwa yeyote anaeweza nisaidia nitashukuru hata kama Si kwa nyumba basi mtu atakae weza nisaidia mahali naweza jidhamini kwa biashara yangu na mali zangu zingine nikapata huo mkopo nitashukuru pia.
Hitaji Langu kubwa ni 10m TU. Asante kwa yeyote atakaeweza nisaidia fanikisha hili jambo.
MREJESHO :
Si kila mtu ana mashaka kuna watu wana nia ya kusaidia wenye uhitaji. Nimefanikiwa kupata mtu wa kunipa Nyumba yenye HATI lakini kikwazo kikawa BANK tena.
Bank hawataki dhamana ya nyumba ya mtu asie familia yako kwahiyo wameikataa nyumba na kusema ni lazima nyumba iwe ya Baba,mama,mtoto,mke,mume. na si nnje ya hapo.
Asante kwa Aliejitoa na Asante kwa waliotilia shaka.
Unaomba mkopo , Na huo mkopo unaukatia insurance /bima. Hiyo insurance ndio collateral yao...waulize NMB, Exim au CRDB.Japo sijakuelewa ulichoandika ila nimetaka kujibu SAWA.
Tapeli kwa tapeliMimi aje tuyajenge,nampa Hati ORIGINAL hata leo hii,lakini akileta janjajanja nimeshampa ONYO kabisa!!maana kwa uzoefu wangu nimeshashuhudia sana hayo mambo,kwamba mtu anamdhamini mtu Hati anapata Mkopo kisha anaingia mitini kufanya marejesho,mwisho wa siku Bank wanakuja kuuza nyumba
Yule Mbunge mwenye PhD huku akiwa na elimu ya darasa la 7 aliwahi kumfanyia ndezi mmoja kule Mbezi DSM kitu cha aina hii hii. Kilichompata yule ndezi, hatokuja kukisahau kamwe.Yaani mtu akupe hati yake ya nyumba ukapeleke benki ili upatiwe mkopo? Duh huo ni muhali mkubwa sana kwani ukishindwa au ukiamua kutokulipa nyumba ndiyo imekwenda hiyo.
Daaah,ina mana mkuu endapo nitamwambia naweza mkatia chochote kitu mkopo ukitoka ataidhinisha?Mkuu
Sharti la benki ni la kipuuzi
Idea ya kukopa benki ni sahihi.
Hapo ulixhoshindwa kuelewa ni kuwa huyo afisa wa bank anataka umkatie hela aidhinishe mkopo
Yani bila colateral yoyote ile naweza pata huo mkopo nikiukatia bima mkuu?Unaomba mkopo , Na huo mkopo unaukatia insurance /bima. Hiyo insurance ndio collateral yao...waulize NMB, Exim au CRDB.
Karibu PM mkuu,na sitaki tuchati nataka tuonane Uso kwa Uso nikuonyeshe kwa vitendo.Lete hilo deal I will finance endapo kama ni perfect project, then nitakuwa mbia.
Usiite watu usio wajua Matapeli mkuu.
Kwani waliokupa masharti ni wakaguzi au muidhinishaji mikopo?Daaah,ina mana mkuu endapo nitamwambia naweza mkatia chochote kitu mkopo ukitoka ataidhinisha?
inakuaje yeye akiidhinisha halafu wale wakaguzi wakienda ikagua nyumba,nao sio itabidi niwagaie tena chochote kitu?
Hapo anaetakiwa kupoozwa ni nani mkuu?
Mkuu, ongea na bank tajwa- watakupa maelekezo. Hakuna kitu kisichowezekana duniani humu labda kifo tu. Penye nia Pana NjiaYani bila colateral yoyote ile naweza pata huo mkopo nikiukatia bima mkuu?
Kwa Mkopo wa 20m nikiukatia BIMA gharama yake ipoje?
Hii kitu inawezekana kweliii mkuu? mbona sijawahi isikia?
Fred mkinga kwa uchawi wakinga hatariMuaminini tu mbona Fred anasimlia kuwa alimpa mtaji wote mshikaji wake akaenda China mpaka leo yeye ndo vunja bei
Benki hukopesha nyumba iliyokamilika hasa hupenda nyumba ya biashara na sio.gofu hata kama gofu liwe prime area wanajua usipolipa linauzika chap chapMkuu
Sharti la benki ni la kipuuzi
Idea ya kukopa benki ni sahihi.
Hapo ulixhoshindwa kuelewa ni kuwa huyo afisa wa bank anataka umkatie hela aidhinishe mkopo
Muidhinishaji Mkopo MkuuKwani waliokupa masharti ni wakaguzi au muidhinishaji mikopo?
Bear with him/herMuidhinishaji Mkopo Mkuu