20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Wew. Ndo umejichanganya, soma upyaHuu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew. Ndo umejichanganya, soma upyaHuu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Mmhhh mbona km Unaibiw Crdb Mkopo M12.7 makato 259 miaka 7 inarudishwa My 21 ss ww iwe hvyo kapige hesabu vzr
NMB ukipiga hesabu hutofautiana kati ya mhudumu mmoja na mwingine.Mmhhh mbona km Unaibiw Crdb Mkopo M12.7 makato 259 miaka 7 inarudishwa My 21 ss ww iwe hvyo kapige hesabu vzr
Mpo juu NMB sana,kumbe jf mmo ishu ya huu mkopo ime trendHello Hivi punde,
Pole kwa tatizo lililokukuta,tafadhali tunaomba taarifa kamili za mkopo wako, tawi walipokusaidia kupata mkopo na mawasiliano yako unayopatikana ( namba za simu ) tuweze kufuatilia na kutatua changamoto zilizopo,
Tafadhali tutumie PM tukusaidie.
Asante sana
ukute umenunue gariMkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
======
UPDATES:
Aweke formula na aache porojo zakeMkuu unataka uingize siasa kwenye hesabu...wewe weka formula ndugu
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
======
UPDATES:
| PV | 9,000,000.00 | |
| FV | 18,000,000.00 | |
| NPER | 72.00 | |
| PMT | 250,000.00 | |
| Rate | ?? | |
| Rate | -1% | -11% |
| Wako sawa kabisa |
Wewe ndio umejichanganyaHuu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
======
UPDATES: