A
Umejuaje kwamba huyo ndiye mwalimu wa Korogwe wakati I'd ya Anonymous ni huria, hata wewe unaweza kuitumia??Wakati huohuo umeanzisha Uzi kuwa wewe ni mwalimu wa shule ya msingi huko korogwe Tanga na unamlalamikia DEO wako juu ya malipo ya uhamisho aisee wabongo sometimes mnazingua sana.
Ni anonymous... Kwanini udhani ni yeye?Kasome Uzi wake wa korogwe Tanga nimeupandisha.
Ni anonymous... Kwanini udhani ni yeye?
Because I am a Certified Hater !Ni anonymous... Kwanini udhani ni yeye?
CH mzima? 😹Ni anonymous... Kwanini udhani ni yeye?
Unadaiwa kiasi gani nione kama naweza kukusaidiaMikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria.
Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara haikufanikiwa kama nilivyotarajia, na baadaye nikapatwa na majanga yaliyoteketeza hata mtaji uliokuwa umebaki.
Kwa sasa sina kazi, lakini bado ninawajibika kulipa marejesho ya mkopo kila mwezi. Ni presha kubwa sana. Kila siku ni mawazo, msongo wa mawazo na hofu. Wakati mwingine nahisi kukata tamaa kabisa. Natafuta kazi kila sehemu lakini sipati.
Nimegundua kuwa msongo wa mawazo (depression) ni jambo la kweli. Unapokuwa na madeni, huna kipato, na huoni njia ya kutoka, maisha yanakuwa magumu sana.
Ninaendelea kutafuta kazi na fursa nyingine kwa matumaini kwamba siku moja hali itabadilika, lakini kwa sasa siwezi kuficha kwamba ninapitia kipindi kigumu sana. Sijui nifanye nini.
Umemaanishaje CH?CH mzima? 😹
Bhashiiiiiiiiiiii kakamatikaHapa unasema huna kazi kule kwenye Uzi wako mwingine unamlalamikia DEO hujalipwa disturbance allowance kumbe tatizo ni depression ya mikopo ya kausha damu kama ilivyo kawaida yenu walimu.