Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umetaja riba ndogo sana??Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili kuwasaidia, wakasema
1) Wanamazao yao ya biashara wanatakiwa kuyaweka sawa na kuyafikisha sokoni kabla mvua haijakolea.
2) Wanahitaji shilingi milioni tano kwa mpigo na kwa haraka.
3) Wana mtu mmoja anayewaelewa na hivyo ametoa nyumba yake iwadhamini katika mkopo huo.
4) Wamejaribu kutafuta kwa wakopeshaji binafsi wanaambiwa wanatakiwa kuwa na dhamana ya gari ambapo ili wapate huo mkopo, hitaji ni kwamba wapeleke gari la dhamana lika paki kwa mkoopeshaji na hati ya gari, na waandikishiane kwamba gari hilo wamemuuzia mkopeshaji, eti ili kama wasipolipa auze chapu chapu. Bahati mbaya hawana mtu mwenye gari miongoni mwao. Mazao hayo wanategemea yawasimamishe.
Kwa kuwa mimi sina uwezo wa kuwakopesha, nimeona nilete hapa jamvini. Kama kuna mtu mwenye nia ya kutoa mkopo huo bila hila, kwa utaratibu wa wazi kwamba miezi 2 alipwe na riba yake, la sivyo nyumba ya dhamana iwe halali yake, naomba ani inbox, ili nimuunganishe na hao wateja.
Natanguliza Shukrani.
Kwa huo mzunguko kupata mkopo sio rahisi !!
Mwenye nyumba mwingine , wanaokopa ni wengine tena kikundi! Ama labda sijaelewa?
Mbona umetaja riba ndogo sana??
Sinaaa Mkuu help meUkiona hapa unakereekaaa!!! Hela ya kula leo na kesho unayo lakini?? [emoji23][emoji23]
Kuna jitu kupigwa hapa.Sasa hapo akishindwa kulipa unaenda kuuza nyumba ya dhamana kwa vigezo vipi? Aliyekopa sio mwenye nyumba. Hati haina jina la mkopaji.
Hueleweki eleweki mtakuja kulizanaUtapeli kwa nani sasa wewe unaona? Kama mtu huna fani ya ukopeshaji, huwezi elewa. Tatizo Jf kla mtu ni bingwa wa kila kitu.
Hata Mimi nimeona hvoNinacho cha kukusidia ndugu yangu katika Tanzania
Hiyo biashara inaonekana ni nzuri sana na inalipa ndio maana yuko tayari kutoa nyumbayake kama dhamana
Kiuhalisia hapo yupo kwenye level muhimu kabla ya kutapeliwa rasmi,utapeli huo una pande mbili pande ya kwanza ni anaeoneshwa mchongo wa pili anaepokea Hati kama dhamana
Mwisho.
Huwezi kuelewa kila kitu. Vingine vinakuwa si vya kwako.Hueleweki eleweki mtakuja kulizana
Basi sawa.Kwa faida ya wengi. Mkopo wowote halali lazima kwanza ufanyike kwa uwazi na ukweli. Ukipindisha lolote katika uhalisia, umetengeneza mkopo chechefu au non-performing loan ambayo mwisho wa siku ni kuharibu vitabu, taswira na kupoteza mtaji.
Kwa mantiki hiyo:-
1.Anayekopa, anatakiwa atambuliwe kama mkopaji kwa majina yake na vigezo vingine ambavyo mkopeshaji atakuwa kaviweka.
2. Dhamana inayowekwa kwenye mkopo huo inatakiwa itathminiwe peke yake kama dhamana ya mkopo. Pamoja na mambo mengine, umiliki wa dhamana hiyo hata uwe wa serikali ya kijiji, ujulikane kwa maana ya nani mmiliki kisheria. Hapo utakwenda kuangalia jina la nyaraka zozote zilizopo mnazoafikiana kutumia. Halafu mwenye majina yanayoonekana kwenye hizo nyaraka, ndiye aseme kama anaweka nyumba ama mali hiyo kuwa rehani ya mkopo wa mkopaji fulani anayekopa sh. kadhaa kutoka kwa fulani kwa mashart a b c,.
Pamoja na governing procedures zingine, hii inamweka mkoopeshaji sehemu salama kabisa ya kushughulika na dhamana bila chenga. Halafu wao waelewane kivyao kwa walivyodhaminiana.
Bahati mbaya sina fedha hiyo, mimi ningefanya biashara nzuri nikapata na fedha za riba mwaka mpya..
Kwa nyongeza, kama anaamua mdhamini kuwa kama mkopaji, "basi atakuwa mkopaji halisi na fedha atachukua yeye, kila kitu yeye kitu ambacho, pia hakimtendei haki mdhamini.
Huwezi kuelewa. It takes years of training in classes. Lakini kama kuna mtu mwenye hiyo biashara anajua, mimi nitamuunganisha na mhusika wataongea terms na conditions. Ni ngumu kwa mtu asiyekuwa kwenye fani ama anayedandia fani bila kusomea.
Ndiyo sababu kuna international trainers wa hiki kitu na mimi si mmja wao. Ni fursa tu inanipita kwa kuwa sina pesa.
Sorry kumbe hukutaja ribaNimetaja riba ngapi kiongozi?
Umetumia tathmini gani kufikia hiyo conclusion?
Anayetapeliwa ni nani kwa utafiti wako?
Wewe huna hata chembe ya moyo wa kumsaidia ndugu yako wa karibu akihitaji msaada wako? Au kwenu nyote ni manunda wala watu?
Unaelimu gani katika masuala ya mikopo?
Unajua lakini kwamba mikopo ni taaluma?
Ulishawahi kusikia mtu kakopo na kurejesha hata bila dhamana?
Unaposema anayepokea hati anatapeliwa, wewe ulitaka apokee nini kama dhamana kwa elimu yako?
Naomba nisiwe na poteza muda wangu na kundi la "Others".
Ulishawahi kuchukua mkopo sehemu yoyote?
Watu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sorry kumbe hukutaja riba
Sawa tu but I smell something fishyHuwezi kuelewa kila kitu. Vingine vinakuwa si vya kwako.
Hata kama nina kichwa kigumu huwezi chukua mkopp kwa collaterals za mtu mwingine .Huwezi kuelewa. It takes years of training in classes. Lakini kama kuna mtu mwenye hiyo biashara anajua, mimi nitamuunganisha na mhusika wataongea terms na conditions. Ni ngumu kwa mtu asiyekuwa kwenye fani ama anayedandia fani bila kusomea.
Ndiyo sababu kuna international trainers wa hiki kitu na mimi si mmja wao. Ni fursa tu inanipita kwa kuwa sina pesa.
Jerk of all trades?Sawa tu but I smell something fishy
Teh teh, hii style yako mpya mbona haiko kwenye taratibu zinazojulikana au wewe tu ndio unajua?Jerk of all trades?
Wewe hukopi wala hukopeshi, Pilipili usizokula zakusumbua nini? Idiocy!.Kwa huo mzunguko kupata mkopo sio rahisi !!
Mwenye nyumba mwingine , wanaokopa ni wengine tena kikundi! Ama labda sijaelewa?
Hata kama nina kichwa kigumu huwezi chukua mkopp kwa collaterals za mtu mwingine .
Umeanzisha uzi wa kumuombea mtu mkopo , kwa dhamana ya mtu mwingine !! Hivi nani anatoa pesa kirahisi hivo? Ikitokea mkopaji ame dafault unauza collaterals kwa utaratibu upi ?