Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

Mbona umetaja riba ndogo sana??
 
Huwezi kuelewa. It takes years of training in classes. Lakini kama kuna mtu mwenye hiyo biashara anajua, mimi nitamuunganisha na mhusika wataongea terms na conditions. Ni ngumu kwa mtu asiyekuwa kwenye fani ama anayedandia fani bila kusomea.


Ndiyo sababu kuna international trainers wa hiki kitu na mimi si mmja wao. Ni fursa tu inanipita kwa kuwa sina pesa.
Kwa huo mzunguko kupata mkopo sio rahisi !!
Mwenye nyumba mwingine , wanaokopa ni wengine tena kikundi! Ama labda sijaelewa?
 
Hata Mimi nimeona hvo
 
Basi sawa.
 

Yaani umeshindwa kwenda kwenye taasisi za mikopo huko kwa wenye fani, umetuletea sisi tusio na fani na bado unatuchamba.
Sasa kama unajua inabidi mtu awe na fani kwanini usiende huko kwenye taasisi husika?
 
 
Kwa huo mzunguko kupata mkopo sio rahisi !!
Mwenye nyumba mwingine , wanaokopa ni wengine tena kikundi! Ama labda sijaelewa?
Hata kama nina kichwa kigumu huwezi chukua mkopp kwa collaterals za mtu mwingine .
Umeanzisha uzi wa kumuombea mtu mkopo , kwa dhamana ya mtu mwingine !! Hivi nani anatoa pesa kirahisi hivo? Ikitokea mkopaji ame dafault unauza collaterals kwa utaratibu upi ?
 
Wewe hukopi wala hukopeshi, Pilipili usizokula zakusumbua nini? Idiocy!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…