Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

Matter of the fact ni kuwa hao jamaa wakipewa hiyo pesa hawatalipa na mkopeshaji hutaweza kudai nyumba iliyowekwa kama dhamana , na haya mtoa mada unayedhanini hili pambano utamruka mkopeshaji,. Kuna loopholes kibao umejitengenezea ulipo wakilisha hii mada .
 
Kama kuna kundi flani umelilenga sawa
Ngoja niishie hapa .
Mtu makinj haingii kwenye mtego kama huu.
Wkati unahangaika na ramli hapa, tayari nina watu 3 inbox wanahitaji link. Kama wwe hayakuhusu, waachie wahusika. Tabu ya nini?

Pengine hujui, fedha ni m5. Kwako ni nyingi kiasi cha kukufanya upate kitete hadi mtu mzima asiende kutapeli ma millioni mengi ajiandae kutapeli 5m? Huu ni udhalilishaji.

Kikubwa elewa kwamba, watu hpata shida hata ya kuazima koleo kwa jirani. N amtu anayewaza uovu tu kwa kila mtu, hufa maskini wa kutupwa.

Kwa taarifa yako, niliwahi kufanya hiyo biashara kule nyuma na mmoja wao ni mteja wangu na ndiyo sabbu alikuja kuniona. Bahatai mbaya sifanyi tena hiyo shughuli lakini haina maana kwamba sielewi watu wenye shida na dynamics zilizoko kwenye industry.

Kama wewe hujawahi kuwa na shida halali ama hujawahi kuwa mwaminifu kwa mali za watu wengine, ni matusi makubw akwa nafsi yako kudhani dunia nzima iko vile.

Nimeshawapa namba za mawasilian walioonyesha interest ya biashara.

Nitawashukuru wote waliosoma na kuonyesha kujali na ama kutaka kujifunza. Lakini yale majuha yanayodhani yanajua kila kitu kumbe ni sifuri kwenye hili eneo, nawapa pole na Mungu awasaidie mtumie muda wenu kutafuta maarifa badala ya kuonyesha mwisho wa ufahamu.
 
Njoo pm tufanye Biashara mkuu
 
Naona una makasiriko mengi na mjuaji watu huku wanaku zoom tu
Do you think I am at tht level? What exactly do you want from me, woman? My thread was neither for discussion nor a tour center for low mindsets. It was straightforward a request on trying to help my esteemed customers whom I could not serve. Are you emotionally beaten? Find something else rather than clinging on my neck for things that are even not in your capacity.

Nenda katafute udaku insta, ushinde huko an wanawake wenzako wa aina yako. Sina muda wa kipumbavu. Niliandika uzi kwa sababu, na sasa watu wanaendelea an maongezi yao nimeshawalink. Wewe unabaki kuanika upungufu wako kichwani, una tatizo gani mwanamke?

Ficha uelewa wako mdogo na kukosa kwako exposure kwa kuepuka kutafuta malumbano na watu kwa mambo yasiyokuhusu.
 
Do you think I am at tht level? What exactly do you want from me idiot?
Una hasira sana [emoji23][emoji23][emoji23] I want to bite ur kengelez[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani umeshindwa kwenda kwenye taasisi za mikopo huko kwa wenye fani, umetuletea sisi tusio na fani na bado unatuchamba.
Sasa kama unajua inabidi mtu awe na fani kwanini usiende huko kwenye taasisi husika?

Huwezi kuelewa wewe, it takes years and so so kuiuelewa mbinu hii ya upigaji.
 
Hesabu rahisi, uza nyumba na hela itayopatikana kiasi unaenda lipia mkopo...

(Wa)Akipata faida kwenye hayo mazao, (wa)ongeeze katika hela (wa)aliyouza nyumba na (wa)anunue nyumba nyingine...
 
Mleta mada nilijua yupo bize kutafuta suluhu ya Jambo lake

Kumbe yupo kujibizana na watu

Kifupi humu hakuna msaada nenda kwenye taasisi husika za mikopo


Mkopaji mwingine mwenye dhamana ya mkopo mwingine


Siku ya kudaiana sijui atadaiwa Nani?

....dalili za kuibiwa....
 
Sifa za matapeli.

1. Wanajua udhaifu uliopo kwenye sheria.
2. Wanalugha ya ushawishi mwanzoni kisha hufuatiwa na matusi na ukali kwa kadiri shabaha yake inapoyumbishwa.
3. Hawapokei ushauri na huwa hawatoi mwanya huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…