Mkopo wa Elimu utolewao na pspf ni hovyo

Ahsante sna mkuu kwa kuileta hii mada,wiki hii nilitembelea ofis za LAPF ili kufahamu taratibu za kupata mkopo wa piga kitabu na LAPF, aiseeee nilichoka and disappointed!

Kwanza licha ya mawanacha kutimiza masharti ya mkopo lkn utapatiwa 75% tu ya kile ulichochangia ambacho inawezekana kisitoshe kwenye gharama za karo tu.

Pili mwanachama utakatwa kwenye mshahara pindi baada ya kukopeshwa ambapo riba ya mkopo ni17%, ssa nini tofauti na mabenk km ya CRDB,NMB?

Hii mifuko haina nia njema ya kumsaidia mwanachama zaidi ya ulafi tu wa kumnyonya mtumishi!
Duh... Kumbe na hawa nao wasanii? BTW.. Nilishangaa sana nilivyoona hawa wanaweza kutoa direct mikopo kwa wanachama wao cuz huu ni mfuko mdogo sana Tanzania. Mfupa ukiwashinda NSSF, PSPF na PPF kamwe hawa LAPF hawauwezi.
 
Mtoa mada kwa mtu ambaye haelewi dhana ya huduma ya hifadhi ya jamii anaweza kuhisi ameongea hoja ya msingi.. Ila mwenye akili timamu na anayeelewa kuhsu social security atatambua fasta kuwa mtoa mada ameongea porojo zilixopita mpaka..... Au huenda ametumwa na mfuko flani kuchafua mfuko mwingine.. Tena huenda ametumwa na LAPF au huenda mtoa mada ni mdau wa LAPF.. Maana hawa wenzetu wanadhani ushindan ni ugomvi

naomba nimjibu mtoa mada kwa sababu naelewa vizuri dhana ya hifadhi ya jamii........

1. Ieleweke kuwa ni kosa la jinai kukata michango ya mtumishi aliyechangia eti kwa kisingizio kuwa ulilipa mikopo.. Michango ya mtumishi anavyostaafu inatakiwa hesabu yake iwe vilevile hata atakapostaafu.. Hvyo kusema LAPF wanatoa mkopo wa elimu kwa kupitia michango ya mtumishi JAMBO HILO HALIWEZEKANI.. MIKOPO YA ELIMU NA HATA YA KUJIKIMU katika LAPF na psfp na mfuko wowote hukatwa kwenye mshahara wa mtumishi kwa sababu ni kosa kukata michango ya mtumishi
2. dhana ya hifadhi ya jamii ni kulipa mafao yaliyoainishwa kisheria... Ili mtumishi anapostaafu asihangaike.. Hivyo kukata michango ya mtumishi kulipia mkopo wa elimu ni wehu uliopiliza na haiwezekan kwa sababu hautkuwa na hela. Ya kulipa mafao ya mda mrefu eg. Old age gratuity na pensheni
3. Kusema mikopo ya elimu ya pspf haina tofauti na mikopo ya bank sjui.. Si sahihi... Kwa sababu kiwango cha riba PSPF ni 1.17 per month.... Kaulize riba za bank
4. kuhusu Kutakiwa kufungua akaunti ya bank ya posta.. Sidhan kama ni jambo la ajabu sana.. Kwa sababu Ieleweke kuwa.. Pspf haitoi hela kwenye akaunti yake kugharimia mikopo.. Isipokuwa nikoo inatolewa na POSTA BANK kwa niaba ya pspf ambye anasimama kama mdhamini wa mikopo hyo kulingana na makubaliano waliyofikia ikiwemo kutoa mikopo kwa riba ndogo.. Ieleweke kuwa posta bank ni mshirika wa pspf.. Wanashirikiana ktk mambo mengi.. Hivyo kuambiwa ufungue bank ya posta sidhan kama ni sharti geni na gumu.. Kwa sababu gharama ya kufungua ni sg. 10,000 tu ambyo ni gharama ndogo sana
5. mikopo ya pspf ya elimu ni mkombozi mkubwa kwa watumishi kwa sababu inatimiza ndoto za watumishi wengi kujiendeleza na inatolewa kwa riba nafuu

NB.
Mkopo ni makubaliano.. Ukiona unafaa unachukua ukiona haukufai unakausha.. Wanaohtaji wanachukua na wanamaliza elimu zao kiroho safi.. Tena unaweza kukuta unamaliza masomo na mkopo umeulipa wote kiroho safi maisha yanaenda
ikumbukwe kuwa waajiri wengi hawapeleki watumishi kusoma kwa hofu ya gharama.. Hvyo pspf imesolve tatizo

PSPF inalipa ada kwa 100% LAPF haIna uwezo huo
riba ya pspf ni 14% kwa mwaka sawa na 1.17 kwa mwezi.. LAPF 17

PSPF inalipa kwa chuo chochote Tanzania na nje ya nchi na kwa level zote.. LAPF haliwez hili...

Kimsingi huwezi fananisha LAPF na pspf kirahisi hivi..

Pspf ibayolipa mafao kwa wastaafu zaidi ya 50,000 na watemezi zaidi ya 300,000
pspf licha ya kuanzshwa 1999 ambapo mpk kufikia mwaka 2000 thamani yake ilikuwa bilion 35 lakin kufikia 2014 ilikuwa trilion 1.5

LAPF iliyoanzshwa tangu miaka ya 1945 huko thamani yake haizidi bilion 300

KIMSINGI LAPF MSIPOTEZE MDA KUTANGAZA PRIPAGANDA CHAFU DHIDI YA PSPF badala yake mtafute mbinu za kuimarisha thamani ya mfuko wenu.. Itafika wakati mtapata wastaafu msije mkachemka bure...........ahahahah

WENZENU WAMEAJIRI MAAFISA KILA WILAYA NA WANAWALIPA VZURI TU na wana ofisi kila mkoa kuwafikia wanachama.. Nyie hata ofisi za kanda tu mnambwela...

Wenzenu wanaongeza uwekezaji na kuwalipa mafao manono wanachama nyie kutwa mmejaa majungu

sasa hv LAPF hamna wastaafu nawatabiria kufirisika mkishapata japo wastaafu 50😕
 
Asante kwa maelezo yako ingawaje yamejaa hofu na jazba hasa pale unapodhani nimetoa mada kwa kutumwa na lapf pengine kwa sababu nimewataja.

Nadhani wewe ni muhusika na hapo pspf basi na mimi ni mwanachama wa pspf kwa miaka 5 sasa.sasa basi mnapo tangaza huduma zenu mjitahidi kutuelewesha yote ili tujue habari kamili sio tunakuja huko na kukutana na butwaa,

Najua hizi ni huduma za ziada zitolewazo na mifuko ya hifadhi ya jamii na wala sio lazima,basi muwe wa wazi kwa wanachama wenu,nakumbuka mwaka juzi nilipokuja kufuatilia mkopo wa nyumba kama tangazo linavyosema nilichoka baada ya kuambiwa hadi mwanachama uwe na umri wa miaka 55 !!,mambo kama hayo ndio yanayo tukera na tunaona haina maana na hayo mambo mnayotutangazia.

Kumbuka:sio kila anaye wakosoa ni mpinzani wenu kama unavyodhani kwamba nimetumwa na lapf kwa hilo umekurupuka na huwezi kupiga hatua kama unaona kila anayekukosoa anataka kukurudisha nyuma.
 
Kiongozi naomba unipe faida ya GEPF compare kwa mifuko mingine maana nampango wa kuterminate kaz nikiahmia kaz ingine nijiunge. Kwa sasa nipo pspf

Nakushauri baki huko huko PSPF,PSPF na LAPF ndo mifuko yenye kutoa penshen kubwa kuliko mifuko mingine na wanatumia fomula inayofanana ktk ukokotoaji wa penshen zao!! So kwanini unataka kuhama??
 
Hivi kama mtumishi umefanya kazi kwa muda wa miaka kadhaa,ile habari ya kukopa katika hizo taasisi bado ipo au ilishakufa kifo cha kawaida?

Kuna utaratibu wao inabidi ufuate na uwe umetimiza vigezo na masharti katika huo mkopo unaouomba
 
Kiongozi naomba unipe faida ya GEPF compare kwa mifuko mingine maana nampango wa kuterminate kaz nikiahmia kaz ingine nijiunge. Kwa sasa nipo pspf

Ndugu yangu upo mahali sahihi PSPF.. huko kwingne utapotea.. Walahi utakuja kukumbuka haya maandshi nayoandika leo.haya maneno yanayosambzwa na watu ni propaganda tu
 
Asante kwa maelezo yako ingawaje yamejaa hofu na jazba hasa pale unapodhani nimetoa mada kwa kutumwa na lapf pengine kwa sababu nimewataja.

Nadhani wewe ni muhusika na hapo pspf basi na mimi ni mwanachama wa pspf kwa miaka 5 sasa.sasa basi mnapo tangaza huduma zenu mjitahidi kutuelewesha yote ili tujue habari kamili sio tunakuja huko na kukutana na butwaa,

Najua hizi ni huduma za ziada zitolewazo na mifuko ya hifadhi ya jamii na wala sio lazima,basi muwe wa wazi kwa wanachama wenu,nakumbuka mwaka juzi nilipokuja kufuatilia mkopo wa nyumba kama tangazo linavyosema nilichoka baada ya kuambiwa hadi mwanachama uwe na umri wa miaka 55 !!,mambo kama hayo ndio yanayo tukera na tunaona haina maana na hayo mambo mnayotutangazia.

Kumbuka:sio kila anaye wakosoa ni mpinzani wenu kama unavyodhani kwamba nimetumwa na lapf kwa hilo umekurupuka na huwezi kupiga hatua kama unaona kila anayekukosoa anataka kukurudisha nyuma.

Kijana..... Nashukuru kuwa umekubali kuwa mikopo ni huduma ya ziada tu ktk hifadhi ya jamii

kuhusu mikopo ya nyumba ipo ya aina mbili

1. Mikopo ya nyumba kwa wastaafu (ambapo mstaafu anaweza kuchukua nusu au chini ya nusu ya mafao yake kwa ajili ya kujiandaa kustaafu ili akajenge nyumba.. Lakini si lazma akajenge nyumba.. Maana akishapewa hyo hela hapabgiwi matumizi.. Lakini lengo ni kumwandaa mtumishi akifika miaka 60 aingie ktk nyumba yake badala ya kuhangaika kujemga nyumba tena.... Mkopo huu unaweza kuchukua miaka mitano kabla ya kustaafu kwa lazima.. Yaani miaka 55 na HUKATWI KWENYE MSHAHARA... Kwa sababu tayari umefikisha umri wa kustaafu kwa hiyari.. Hvyo mfuko unaruhusiwa kukata mkopo huo kupitia mafao yako)

2. mikopo ya nyumba zilizojengwa na pspf.
Hii ni mikopo ya nyumba ambayo inahusu wanachama wa pspf aliyechangia kwa miaka 5 au zaidi..... Hapa hupewi fedha cash.. Badala yake unachukua mkopo wa nyumba xilizojengwa na pspf ktk mikoa mbalimbali nchini.. Kama mkoa unaotaka nyumba ijengwe bado haijajengwa bas utalazimika kusubiri hadi zijengwe......

Makato hufanyika kupitia mshahara wako.... Na unaweza kulipa.kidogo kidogo ht kwa miaka 25.
Pia unaweza ukachukua nyumba iliyojengwa na pspf kama.mnunuzi mpangaji badala ya kuktwa kupitia ktk mshahara...
 
Kuna utaratibu wao inabidi ufuate na uwe umetimiza vigezo na masharti katika huo mkopo unaouomba
Kumbe mambo yenyewe mi kukata katika mshahara tena,ah shida inakuja maana maelezo yanatolewa nusu nusu na sidhani lengo la wabunge wakati ule lilikuwa kukopesha then mtu akatwe kwenye mshahara.Ilionekana maisha yamekuwa mafupi so kwanini mwanachama asipate angalau fedha kidogo katika mfuko wake aliochangia ili afanye mambo yake kabla ya kufika hiyo miaka ambayo haina uhakika.....sasa naona dhana imepinduliwa chali.Anyway masharti gani yanahitajika(miaka ya uchangiaji na n.k) na ukokotoaji wa mkopo unakuwaje nikiwa na maana cash in hand na mkopo utakaopata.
 
Nafikiri ingia ktk website zao for more info...pili unaweza ukapata hotline zao ambazo ni free of charge baada ya kuperuzi page zao ktk website...! Kama wewe ni mwanachama wa pspf kama mm ingia www.pspf.go.tz
 
Mkuu matangazo mengi ya hifadhi za jamii ni uongo mtupu hata nssf matangazo yao kwamba wanatoa mikopo lakini nenda uone utakavyoambiwa utachoka kabisa.
 
Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo katika taasisi nyeti sana hapa.nchini na ni member wa pspf, mwaka jana niliomba kuhama huu.mfuko niende GEPF wakanikatalia...dah! Inauma sana!

Pole. Tasisi nyeti sana ndo taasisi gani hiyo mkuu?
 
Duh... Kumbe na hawa nao wasanii? BTW.. Nilishangaa sana nilivyoona hawa wanaweza kutoa direct mikopo kwa wanachama wao cuz huu ni mfuko mdogo sana Tanzania. Mfupa ukiwashinda NSSF, PSPF na PPF kamwe hawa LAPF hawauwezi.

polen sana ndg zangu. hata mm yamenikuta hayo, ila niko mwaka wa 2 nashukuru maana nakomaa na mshahara huo huo nalipa ada kwa awamu. hari ni tete sana.
 
Kikubwa nilicho jifunza ni kwamba hizi huduma zinazo tangazwa na hii mifuko ya hifadhi ya jamii sio za kupapatikia kabisa, zina lengo la kuvutia wanachama wawapate wengi zaid,kwani ukifuatilia utakutana na utofauti fulani na wanavyo sema
 
Hawa jamaa hawana tofauti na kwenda kukopa Nmb mkopo wao upo kisiasa zaidi
 
Back
Top Bottom