Mkopo wa gari

Mkopo wa gari

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Habari wanajamvi,

Kutokana na bei za magari zimepanda sana, nahitaji kununua gari used la mkononi/yaliyotumika tanzania lenye hari nzuri. Bei kuanzia mil 7 hadi 12.

Wapi ntapata wanakokopesha magari used kwa rejesho la kila mwezi.

Uwezo kurejesha laki 5 hadi 8 kwa mwezi. Na natanguliza mil 6 kwanza

Yard nyingi wanakopesha yanayotoka nnje tu.
 
Kama una million 6 za kuanzia tafta jipya tu. Nenda pale JAN International kuna ractis hadi za million 9 chasis number bora ukawekeshe hela kule.
 
JAN wanakubali kuwekesha mkuu na kwa muda gani hata miaka miwili inafika?

Miaka 2 unaekeza gari ya 12 mil?[emoji2305]

Mkuu jipange kwanza nazani wakati bado

Gari sio assets.linaweza kukupoteza kiuchumi kama umelega lega
 
Back
Top Bottom