AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Habari wanajamvi,
Kutokana na bei za magari zimepanda sana, nahitaji kununua gari used la mkononi/yaliyotumika tanzania lenye hari nzuri. Bei kuanzia mil 7 hadi 12.
Wapi ntapata wanakokopesha magari used kwa rejesho la kila mwezi.
Uwezo kurejesha laki 5 hadi 8 kwa mwezi. Na natanguliza mil 6 kwanza
Yard nyingi wanakopesha yanayotoka nnje tu.