Mkopo wa haraka wa Mil 2

Mkopo wa haraka wa Mil 2

Avenger

Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
42
Reaction score
5
Habarini wanajamvi

Mimi ni mfanyakazi mpya sehemu flani kwa mwezi wa 5 sasa ila nimeting'wa na ishu ya haraka inahitaji hiyo pesa.
Kama kuna anaeweza kunikopesha kwa makubaliano genuine yenye riba au kunielekeza wapi naweza kuipata kwa haraka Kwasababu hii ni serious case,naomba pia walio serious wanisaidie.

Tafadhali naomba uniPM

Asanteni sana!
 
..Nenda AKIBA COMMERCIAL BANK ILA uwe na biashara unayofanya na dhamana yenye thamani sawa au zaidi ya hiyo 2M....
 
Back
Top Bottom