Comrade Liu Yang
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 206
- 326
Tatizo kuu ni CASH mkuu ningekua na hiyo pesa ningefanya hivyo,na katika piki piki hutakiwi nunua used ni piki piki unayokuja itumia kufanyia kazi.Chukua pkpk ya kununua cash
Au Nunua pikpk ambayo, mtu ameshindwa mkataba, ambayo Bado haijafunguliwa Engine, Ingawa pkpk za sasa hiv ni Tofauti na Boxer ya mwaka 2008/2010 Vipuri vyake hizi za sasa hivi wamechakachua sana, yaani Boxer inamiezi 6 Tu inaanza kutoa moshi hata kama kijana amezingatia uwekaji wa oil
boxer mpk itoe moshi nadhani ni uzembe wa kutozingatia OIL naielewa sana hii pikipiki hasa 150 ktk kutenda kazi ngumuChukua pkpk ya kununua cash
Au Nunua pikpk ambayo, mtu ameshindwa mkataba, ambayo Bado haijafunguliwa Engine, Ingawa pkpk za sasa hiv ni Tofauti na Boxer ya mwaka 2008/2010 Vipuri vyake hizi za sasa hivi wamechakachua sana, yaani Boxer inamiezi 6 Tu inaanza kutoa moshi hata kama kijana amezingatia uwekaji wa oil
Poa, pole ila Biashara ni Kamali Anza na ulichonacho utafanikisha tuu.Tatizo kuu ni CASH mkuu ningekua na hiyo pesa ningefanya hivyo,na katika piki piki hutakiwi nunua used ni piki piki unayokuja itumia kufanyia kazi.
piki piki ya kununua used labda kama utaitumia kutembelea na matumizi yako binafsi,90% YA PIKIPIKI USED zinauzwa sababu watu washazitumia vyakutosha
shukraniPoa, pole ila Biashara ni Kamali Anza na ulichonacho utafanikisha tuu.
Pia usiogope kuwekeza, ktk hilo wazo lako.