Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru
Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"
Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.
Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo
Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA