Mkopo wa Trilioni 1.3 ni zigo la Tanganyika, mashaka ya Ndugai yataeleweka badae

Mkopo wa Trilioni 1.3 ni zigo la Tanganyika, mashaka ya Ndugai yataeleweka badae

Huo mkopo Zanzibar walipe share ya hilo deni sawia na mgao waliopata, si haki kubebeshana mizigo ya wala urojo
Ukikopa mkopo wewe ukampa rafiki au ndugu atumie, mkopeshaji anakujua wewe so atakudai wewe. Ndo sababu Tanganyika ndo watalipa
 
Na huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo

Chato International Airport hukuiona ?.
 
Kamwe mgawaji hajipunji hiyo ni kanuni ya dunia .. Kama mamlaka iko chini ya ndugu wawili ... Je unadhani wanaweza kujipunja?
Sasa shida ndo iko hapo, Ndugai anahoji na Samia hataki kuhojiwa maswali magumu, ndo maana anawaka hasira!
 
Mtoa mada wewe ni fala ,kwanza aliyeweka kanuni ya mgawanyo wa 21 vs 89 ni Zanzibar?
Wewe ni mjinga, usiyetaka kujieleimisha. Mgawanyo wa mikopo na misaada kwa mujibu wa articles of union ni 93% kwa 7%. Siyo hiyo unayoisema.
 
Wewe ni mjinga, usiyetaka kujieleimisha. Mgawanyo wa mikopo na misaada kwa mujibu wa articles of union ni 93% kwa 7%. Siyo hiyo unayoisema.
Weka hapa hiyo doc yako ya 93 vs 7,,inayotambulika na inayotumika ni 89 vs 21 ..

Na kama ilifanyiwa maboresho kwenye kero za Muungano unabishaje?
 
Hii mikopo ya pupa kwa mgongo wa jamhuri ya muungano inayolenga kuijenga zanzibar haiwezi kuwa haki hata kidogo........bora mama ashauriwe 2025 agombee zanzibar......
Watanganyika wataelewa baadae,somo la ndugai,maana ni watu wapapara Sana.
 
Kati ya 1.3 trillion zilizotumika Bara ni 512 bilioni, billion 800 zimeenda wapi hili linahitaji mjadala.
Zanzibar inakula keki ya taifa, wadanganyika tumelala.
Unafikir zitaenda wapi?we unadhani 2025 mbali?
 
Unajadili 1.3trillion wakat ktk account yako huna ata 10.3 million huoni huo ni ujinga na uzwazwa

Fanya kaz kwa maendelea yako naya familia yako na ukuze uchumi wa jamii na familia yako

Siasa umezaliwa utakufa utaziacha madeni ya taifa yatakuepo leo kesho sku umezaliwa sku unakufa utayaacha madeni ya taifa yapo na yataendelea kukopwa

Mnaongelea 1.3 trillion mnaacha kuongelea mikopo ya gaidi dikiteta jiwe aliekopa 29triliion kwa miaka mitano
Mnashindwa kuongelea jambazi aliekua anachukua pesa za wananchi anaenda kujenda kijijini kwao Chato
 
Kamwe mgawaji hajipunji hiyo ni kanuni ya dunia .. Kama mamlaka iko chini ya ndugu wawili ... Je unadhani wanaweza kujipunja?
Na habari tuliletewa nusu nusu sasa tunapata picha kamili. Ndungai ana hoja.
 
Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru

Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"

Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.

Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo

Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Tugawane na hizo ndege za ATC. Zanzibar tupewe zetu mapema
 
Ayubu alikuwa na point. Ila sababu yeye ni mchafu kisiasa ana makandokando, alipaswa kuwapa rungu wabunge WA bara, ili kikao cha February walete mjadala, na yeye angewaachia watiririke akitaka majibu kutoka serikalini.
Kiherehere chake akaropoka. Alifikiri yeye pekee bado ni Muhimili Ka enzi zile!

Everyday is Saturday.....................................😎
 
Back
Top Bottom