Na huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huoWamekopa trillion 10 ndani ya miezi 9, msiseme trillion 1.3 tu, kwani hizo zingine sio pesa? Tena kwa miradi ya madawati na inayofanania na hiyo
Kati ya 1.3 trillion zilizotumika Bara ni 512 bilioni, billion 800 zimeenda wapi hili linahitaji mjadala.Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru
Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"
Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.
Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo
Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Ila watanzania wengi wajinga sana! Badala kuhoji vizuri wanamsakama Ndugai! Yaani hatujui hata tunahitaji nini? Kama mtu inasemekana kakopa trillion 10 ndani ya miezi tu na kapeleka pesa nyinyi Zanzibar kwa nini tusihoji? Tundu Lisu kaonekana kuunga mkono hoja za Ndugai hapo wanatofautiana kwenye mambo mengi! Ila WADANGANYIKA wao hawahoji wanamsakama Ndugai!Wamekopa trillion 10 ndani ya miezi 9, msiseme trillion 1.3 tu, kwani hizo zingine sio pesa? Tena kwa miradi ya madawati na inayofanania na hiyo
Kwa miradi ya madawati, si ndio eeh?Na huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo
Kamwe mgawaji hajipunji hiyo ni kanuni ya dunia .. Kama mamlaka iko chini ya ndugu wawili ... Je unadhani wanaweza kujipunja?Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru
Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"
Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.
Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo
Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Hakuna la maana unauhakika? Mama kakopa trillion 10 kafanya nini cha maana kama gharama za manisha ziko juu kama kawaida! Kajenga madarasa sawa je ubora uko sawa? Je trillion 8.7 zimefanya kazi gani?Na huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo
Aiseee. Mtu kwaoKati ya 1.3 trillion zilizotumika Bara ni 512 bilioni, billion 800 zimeenda wapi hili linahitaji mjadala.
Zanzibar inakula keki ya taifa, wadanganyika tumelala.
Mmeshachelewa...mwacheni mama awatumikie watanzania.Hii mikopo ya pupa kwa mgongo wa jamhuri ya muungano inayolenga kuijenga zanzibar haiwezi kuwa haki hata kidogo........bora mama ashauriwe 2025 agombee zanzibar......
Mtaongea yote ila ndio hivyo mumeshabanwa kende.Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru
Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"
Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.
Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo
Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Mtoa mada wewe ni fala ,kwanza aliyeweka kanuni ya mgawanyo wa 21 vs 89 ni Zanzibar?Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru
Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"
Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.
Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo
Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Tatizo anatumikia wakojaniMmeshachelewa...mwacheni mama awatumikie watanzania.
Labda ndo walitumia kulipa matured loans kujipa relief ya debt distress.......je, hii inaashiria kwamba mzigo wa madeni umekuwa mkubwa kwa serikali kuweza kuhimili (zingatia maneno 'debt distress')............Kati ya 1.3 trillion zilizotumika Bara ni 512 bilioni, billion 800 zimeenda wapi hili linahitaji mjadala.
Zanzibar inakula keki ya taifa, wadanganyika tumelala.
Tumeelewa hivyo chuki yenu Kwa mama niule Uzanzibar wakeUgomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru