antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Ukikopa mkopo wewe ukampa rafiki au ndugu atumie, mkopeshaji anakujua wewe so atakudai wewe. Ndo sababu Tanganyika ndo watalipaHuo mkopo Zanzibar walipe share ya hilo deni sawia na mgao waliopata, si haki kubebeshana mizigo ya wala urojo
Na huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo
Mbona mzee ruksa ni mzanzibar, lakini haya ya kuipendelea zenj hayakuongelewa enzi zake......Tumeelewa hivyo chuki yenu Kwa mama niule Uzanzibar wake
Sasa shida ndo iko hapo, Ndugai anahoji na Samia hataki kuhojiwa maswali magumu, ndo maana anawaka hasira!Kamwe mgawaji hajipunji hiyo ni kanuni ya dunia .. Kama mamlaka iko chini ya ndugu wawili ... Je unadhani wanaweza kujipunja?
Wewe ni mjinga, usiyetaka kujieleimisha. Mgawanyo wa mikopo na misaada kwa mujibu wa articles of union ni 93% kwa 7%. Siyo hiyo unayoisema.Mtoa mada wewe ni fala ,kwanza aliyeweka kanuni ya mgawanyo wa 21 vs 89 ni Zanzibar?
Weka hapa hiyo doc yako ya 93 vs 7,,inayotambulika na inayotumika ni 89 vs 21 ..Wewe ni mjinga, usiyetaka kujieleimisha. Mgawanyo wa mikopo na misaada kwa mujibu wa articles of union ni 93% kwa 7%. Siyo hiyo unayoisema.
Watanganyika wataelewa baadae,somo la ndugai,maana ni watu wapapara Sana.Hii mikopo ya pupa kwa mgongo wa jamhuri ya muungano inayolenga kuijenga zanzibar haiwezi kuwa haki hata kidogo........bora mama ashauriwe 2025 agombee zanzibar......
... madawati ya trillion 9! Yangetapakaa kila mahali hadi pembezoni mwa barabara yangepangwa pasingetosha!Kwa miradi ya madawati, si ndio eeh?
Unafikir zitaenda wapi?we unadhani 2025 mbali?Kati ya 1.3 trillion zilizotumika Bara ni 512 bilioni, billion 800 zimeenda wapi hili linahitaji mjadala.
Zanzibar inakula keki ya taifa, wadanganyika tumelala.
Anahoji kwakuwa kakosa mgao..ni ishu ya maslahi hapaSasa shida ndo iko hapo, Ndugai anahoji na Samia hataki kuhojiwa maswali magumu, ndo maana anawaka hasira!
Enzi zile nyerere alimuwepo Sasahivi hayupo na kiongozi mbara mstaafu aliyepo ni kikwete ambaye naye haeleweki.Mbona mzee ruksa ni mzanzibar, lakini haya ya kuipendelea zenj hayakuongelewa enzi zake......
Na habari tuliletewa nusu nusu sasa tunapata picha kamili. Ndungai ana hoja.Kamwe mgawaji hajipunji hiyo ni kanuni ya dunia .. Kama mamlaka iko chini ya ndugu wawili ... Je unadhani wanaweza kujipunja?
Tugawane na hizo ndege za ATC. Zanzibar tupewe zetu mapemaUgomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru
Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"
Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.
Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo
Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Zanzibar walikuwa wanakataa muungano mkawang'ang'ania. Sasa ni zamu yenu kuwakataa yakhee.Kati ya 1.3 trillion zilizotumika Bara ni 512 bilioni, billion 800 zimeenda wapi hili linahitaji mjadala.
Zanzibar inakula keki ya taifa, wadanganyika tumelala.
Una wazimu si bureNa huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo
Ndio tuelezwe hizo pesa hasa zimeenda wapi... madawati ya trillion 9! Yangetapakaa kila mahali hadi pembezoni mwa barabara yangepangwa pasingetosha!
Alizalisha watoto kwenuNa huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo