mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Tatizo la Ndugai hakumalizia sentesi yakeUgomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru
Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai alikwishaelezea dukuduku lake siku ya kwanza tu wakati wa "Sherehe za Kupokea Mkopo"
Kwamba haiwezekani, jimbo la Kongwa lenye watu 470,000 wapate mgawo sawa na Jang'ombe or whatever lenye watu 4000 au 6000, hakuna haki hapo.
Zanzibar wamepokea a lion's share of the loan amount, yet Tanganyika ndo tutalipa mkopo
Ndugai ni mwovu na mimi binafsi namwombea mabalaa yamkute, lakiniiii....BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Wewe upo nchi gani?Na huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo
Hukuona kwa sababu ya upofu tu.Na huyo mtu wako kwenye picha hapo alikopa 13trillion ndan ya miezi 12 2016/2017 na hatukuona la maana alicho fanyia mkopo huo
Anawatumikia Wazanzibar na siyo WatanganyikaMmeshachelewa...mwacheni mama awatumikie watanzania.
Issue siyo Uzanzibar wake bali ni kile kitendo cha yeye kushirikiana na kaka yake kupora pesa za Watanganyika na kuzihamishia ZanzibarTumeelewa hivyo chuki yenu Kwa mama niule Uzanzibar wake
Infact he had a point if you look at it very closely. Hence those who were concerned or against his views and remarks should have come up with concrete and convicing elaborations of which we haven't heard any so far.Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru