Mkopo wa vifaa vya Pikipiki, Bajaj na Suzuki Carry

Mkopo wa vifaa vya Pikipiki, Bajaj na Suzuki Carry

grabber

New Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
3
Reaction score
0
jipatie ajira yako kwa haraka sana pata mkopo wa vifaa kama bodaboda,bajaji,au Suzuki carry(virukuu)kwa bei poa na riba ndogo sana!kwa haraka piga namba0756992661 kwa maelezo zaidi offce zetu zipo Mwenge Bamaga
 
jipatie mikopo ya vifaa kama bodaboda,bajaji,na visuzuki Kerry kwa gharama nafuuu na riba ndogo sana!piga 0756992661 kwa maelezo zaidi
 
bajaji inakuwa imekatiwa bima(comprehensive insurance ya miaka 2)unakopeshwq kwa mil 7 ndani ya miaka miwili fika offcn kwetu bamaga mwenge au piga namba zilizopo hapo juu
 
Suzuki Carry je?
Mkuu toa maelezo ya kujitosheleza hapa kwanza...then mtu akivutiwa ndiyo atawatafuta kwenye simu.
 
huyu anataka kutuletea habari za DECI hapa.

nimetoa tangazo mkuu sijakulazimisha ucomment au upige simu mwenye uwitaji atafika offcne kwetu na kupata maelezo zaidi kama huna cha kucomment ukae kimya ndugu
 
nilivyoelewa mimi ni kuwa anakopesha vifaa si gari au pikipiki!
 
Bodaboda milioni 7 kwa miaka miwili!!? Mbona bei nafuu hivyo!!!!?
 
Mkuu kwa tuliopo mikoani kuna uwezekano wa kupata mikopo hiyo
 
Back
Top Bottom