Mkopo.

Mkopo.

Ndessa please fafanua kidogo zaidi, unamaanisha nini unaposema wanakopesha kwa dhamana ya magari? Wanachukua reg card au wanabaki na gari kabisa? Maelezo yako ya kina yatawasaidia wengi I'm sure.

Sure Bobby umeuliza swali la msingi sana mana kama wanazuia mkoko ni balaa lingine tena...unless haina jinsi mana mzee mzima kama maji yamevuka shingo yako kidevuni..haina jinsi ni kupiga TZ 11..... Ndessa inabidi adadavue zaidi au atusaidie contact if possible
 
Habarini ndugu zanguni.
Ninatafuta kampuni/taasisi inayotoa mikopo. Mm ni mfanyakazi wa taasisi binafsi. Nilicho nacho mkononi kama dhamana ni magari mawili. Nilishauriwa kwenda NMB lakini sikupata lolote lenye tija. Tafadhalini naomba mawazo yenu. Naamini.. problem shared=problem solved.
(Inaelekea niliipost kwenye wrong forum, hapa labda nimepatia)

Kaka uza gari moja utatue shida yako.
 
Nahitaji M10. Muda wa miaka mitatu. Au M5 kwa miaka miwili.

10m

mrejesho

1,825,000 kila mwezi kwa miezi 6
991,000 kila mwezi kwa miezi 12
713,000 kila mwezi kwa miezi 18
757,000 kila mwezi kwa miezi 24
436,000 kila mwezi kwa miezi 36
una ubavu?
 
Umegusia saccoss kidogo wengine hatujui mikopo hiyo ya saccso huwa inakuwaje ebu tusaidiane hehheh tusaidie tukusaidie mwanya mambo yanavyokuwa hivyo na sie tunashida kama yako hivyo na sie tunataka wakujibu wataramu nasi tukulupuke twende hehehehe aii maisha popote
 
10m

mrejesho

1,825,000 kila mwezi kwa miezi 6
991,000 kila mwezi kwa miezi 12
713,000 kila mwezi kwa miezi 18
757,000 kila mwezi kwa miezi 24
436,000 kila mwezi kwa miezi 36
una ubavu?

Lovebird, hii wanatoa wapi na condition zao ni zipi?
 
Ndessa please fafanua kidogo zaidi, unamaanisha nini unaposema wanakopesha kwa dhamana ya magari? Wanachukua reg card au wanabaki na gari kabisa? Maelezo yako ya kina yatawasaidia wengi I'm sure.

Wale jamaa wanachukua documents zote za gari, afu mkopo wao wanataka urejeshe ndani ya miezi sita na riba yao ni maumivu.
 
Umegusia saccoss kidogo wengine hatujui mikopo hiyo ya saccso huwa inakuwaje ebu tusaidiane hehheh tusaidie tukusaidie mwanya mambo yanavyokuwa hivyo na sie tunashida kama yako hivyo na sie tunataka wakujibu wataramu nasi tukulupuke twende hehehehe aii maisha popote

From what i know, baadhi ya saccos, ukiwa member wake kwa specified time, huwa unaruhusiwa kukopa mara 3 ya unene wa akaunti yako e.g kama una 10m wakopeshwa 30m.

Ni hayo mkuu niyajuayo.
 
Mkuu kama uko Dar nenda Survey mita chache kutoka mlimani city kuna baa inaitwa BULLS PUB then kuna frem nyingi pale nimewasahau jina ila unaweza ulizia wao wanakopesha kwa dhamana ya MAGARI tu,watembelee upate maelekezo zaidi, ila na mimi nifafanulie kidogo kuhusu Saccos jinsi ya kuweka na kupata mkopo wao,Asante.

Mkuu Saccoss inategemeana na katiba yao. Kuna ambao ukiweka hela yako ndani ya miezi mitatu unakuwa na haki ya kukopa x2 au hadi x3 ya akiba yako. Mimi natumia ya walimu ipo vizuri sana.
 
nenda azania bank,hakikisha plot ina title hati halali, tengeneza ramani ya hiyo nyumba,rekodi za biashara yako kwa miaka mitatu nyuma,hati zako zote ulipaji wako wa kodi variate go!

Mkuu huku hakuna hiyo bank. Ipo NMB, TPB, BARCLAYS, BOA, KCB, NBC na EXIM.
 
Wale jamaa wanachukua documents zote za gari, afu mkopo wao wanataka urejeshe ndani ya miezi sita na riba yao ni maumivu.

Duh..sasa hapo miez 6!! Halafu tatizo sipo dar.
 
10m

mrejesho

1,825,000 kila mwezi kwa miezi 6
991,000 kila mwezi kwa miezi 12
713,000 kila mwezi kwa miezi 18
757,000 kila mwezi kwa miezi 24
436,000 kila mwezi kwa miezi 36
una ubavu?
Mh..naomba details zaidi kuhusu hii, ni nani hawa na nawapataje?
 
Mkuu nikiangalia vizuri jinsi ambavyo unaielezea hii biashara unayotaka kuiimarisha ili hela yake uitumie katika ujenzi sina hakika sana kama ina return nzuri namna hiyo (correct me if am wrong).
Stream yake ya income iko reliable kiasi hicho?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu, hujanielewa. Biashara itakuwa inarejesha mkopo..na ujenzi utaendelea kwa fund itakayotoka saccoss.
 
habarini ndugu zanguni.
Ninatafuta kampuni/taasisi inayotoa mikopo. Mm ni mfanyakazi wa taasisi binafsi. Nilicho nacho mkononi kama dhamana ni magari mawili. Nilishauriwa kwenda nmb lakini sikupata lolote lenye tija. Tafadhalini naomba mawazo yenu. Naamini.. Problem shared=problem solved.
(inaelekea niliipost kwenye wrong forum, hapa labda nimepatia)

nenda standard chartered bank uwaelezee japo walikuwa wanatoa mikopo kwa watu waliwahi kukopa hapo nyuma
nenda tu watakupa maelezo
 
nenda standard chartered bank uwaelezee japo walikuwa wanatoa mikopo kwa watu waliwahi kukopa hapo nyuma
nenda tu watakupa maelezo

Mkuu niliwahi kwenda, wakaniambia wanatoa kwa wafanyakazi wa makampuni yenye mkataba nao tu.
 
Mkuu, hujanielewa. Biashara itakuwa inarejesha mkopo..na ujenzi utaendelea kwa fund itakayotoka saccoss.

ok tunaenda sawa sasa. Ila bado swali moja umeruka kulijibu. Hiyo biashara iko stable?
 
Dar es Salaam Community Bank, 1-5 siku unapata huo mkopo kama unakidhi vigezo vyao

Lovebird,kwanza tukuombe radhi kwa usumbufu, vp unaweza kugusia kidogo masharti yao tusijefunga safari n akuishia kudhalilika? Au ni mikopo ya mishahara hiyo? Thanks!
 
Back
Top Bottom